Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaaamu Wanabodi....! Ngoja tutete kidogo, imma kwa Rais wetu ajaye ama vyovyote iwavyo Tangu nimezaliwa hadi leo, nimebahatika kumuona tu kwa kipindi kifupi sana Baba wa taifa hili Mwl Julius...
0 Reactions
1 Replies
226 Views
Team! Salaam! Hakuna taifa lisilokuwa na changamoto za kiuongozi, kimaadili na kadhalika. Tunachojivunia ni utayari wetu wa kupata suluhu za changamoto hizo kwa njia ya mapatano na usuluhishi...
0 Reactions
3 Replies
266 Views
Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka...
4 Reactions
13 Replies
763 Views
Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni, kumeibuka hali ya kusikitisha sana katika tasnia ya habari nchini Tanzania. Vyombo vingi vya habari ambavyo viliheshimika kwa kuandika kwa ujasiri na ukweli, sasa...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kali ya kulaani kile kinachodaiwa kuwa ni uvamizi na kushikiliwa kwa muda kwa Kiongozi wake wa Chama Mstaafu, Zitto Zuberi Kabwe, na maofisa wa Jeshi la...
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Kuanzia Mwenge, Ubungo na hadi kwenda mjini. Polisi wamejaa na gari zao. Kama wako tayari. Tayari kwa nini? Chadema wana mkutano au maandamano?
19 Reactions
46 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa BAVICHA jimbo la Geita Vijijini, Mbeshi Paulo, ameripotiwa kutoweka katika mazingira ya utata baada ya kuchukuliwa na watu waliodaiwa kujitambulisha kuwa askari wa Polisi...
5 Reactions
14 Replies
741 Views
Habarini za sahzi "thinkers" hvi karibuni kumekuwa na agenda ya "No reforms no election"kwa leo niombe tujadili hizi "Reforms" nini faida zake kwa wananchi katika kuleta maendeleo ya taifa...
1 Reactions
11 Replies
399 Views
MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA Mkutano mkuu Halali ni lazima uitishwe na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, ni lazima Akidi itimie ya wajumbe halali zaidi ya nusu kuhudhuria lakini...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Wakati wa Maandamano ya kumtaka aliyekuwa Rais wa Tunisia kujiuzuru na kuondoka Madarakani, Rais huyo Marehemu Ben Ali alimtegemea sana Mkuu wake wa majeshi na Waziri wake wa Ulinzi kutuliza hali...
36 Reactions
112 Replies
5K Views
Naona since Mwezi huu uanze na issue ya Baba mpaka piko kichwani . Kinachofata ni ramli . Kama mpaka muda huu kitalu namba inne hakijalimwa msiniambie chochote kuhusu ramli . Ikiwa hakuna wa...
1 Reactions
6 Replies
476 Views
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Muda hajapita wa kukaa mezani sasa hivi kuna Miezi Mitatu [Julai kuna Agosti na Septemba], Watu hawawezi...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Nani wa kuisaidia kama kila anayestahili kufanya lolote kulinda Nchi anapewa rushwa anyamaze ,asipotii analazimishwa kutii ,wazee wanaotegemewa wamepewa sega wanalamba ,,,wanaothubutu kutokq...
2 Reactions
7 Replies
434 Views
Makamu wa Rais alijiuzulu kugombea tena. Waziri Mkuu akajiuzulu kugombea ubunge. Je kuna mwingine atajiuzulu kugombea kabla ya Oktoba? Tunafatilia…
2 Reactions
12 Replies
647 Views
Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised...
13 Reactions
26 Replies
1K Views
Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
0 Reactions
1 Replies
185 Views
Zamani Watalii wakija Tanzania kwenye viwanja vyote vya ndege mapato yalikuwa yanakusanywa na kupelekwa Mfuko Mkuu wa Hazina na baadae Benki Kuu ya Tanzania ambapo zilikuwa zinagawanywa wa pande...
41 Reactions
127 Replies
7K Views
Wakuu ni Aibu, Udhalimu na Uonevu mkubwa wanaofanyiwa Hawa Ndugu zetu. Serikali ya Rais Samia, inawafanyisha Kazi Bibi na babu walochoka kabisaz Shughuli za kuchongaabarabara, Njia ,Mitaro na...
1 Reactions
3 Replies
326 Views
Kama unabisha tafiti kuanzia mfumo wa vyama vingi uanze wagombea Urais wa JMT kupitia CCM walipatikanaje! Ukipenda tafiti hata yule wa 1985 alipatikanaje? Itakusaidia kuujua utamaduni wa CCM na...
1 Reactions
3 Replies
250 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…