Nini Faida za "reforms" kwa wananchi katika kulijenga taifa?

Nini Faida za "reforms" kwa wananchi katika kulijenga taifa?

MONEY IS NOT EVERYTHING

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
2,041
Reaction score
2,861
Habarini za sahzi "thinkers" hvi karibuni kumekuwa na agenda ya "No reforms no election"kwa leo niombe tujadili hizi "Reforms" nini faida zake kwa wananchi katika kuleta maendeleo ya taifa, kupambana dhidi ya ufisadi, Rushwa, madawa ya kulevya, udini, ukanda,kujuana kuimarisha pato la taifa, kuondoa deni la taifa,kujenga Tanzania iliyo na umoja na mshikamano.

Kudumisha Amani,utunzaji wa mazingira, utoaji wa huduma bora kwa wananchi na Uboreshaji wa miundo mbinu,, mfano, Barabara, Afya, Elimu Reli na Anga. uboreshaji wa madaraja na mishahara kwa watumishi, Utoaji wa Elimu bora kwa wote bila ubaguzi,.

Kuimarisha pato la kila mmoja na maisha bora kwa kila mwananchi.??? Baada ya Kufanyika uchaguzi huru na wahaki, au njia ya kuwatengenezea viongozi ulaji.?? Mapovu hayarusiwi.
 
Taifa linalojengwa kwa haki ustawi VIZURI. Rushwa zitapungua. Ufisadi kupunguz. Kutokuepo kwa matabaka. Kuvutia wawekezaji. Kuimarika kwa afya ya wanachi.
 
Wewe unaweza kuhoji umuhimu wa maziwa ya mama kwa mtoto? Yaani uulize swali kabisa la mamna hii maziwa ya mama kwa mtoto ni muhimu au ni uroho wa mtoto kunyonya halafu tukuone timamu?
Ndiyo maana nimemuuliza MONEY IS NOT EVERYTHING kuwa yeye anadhani chanzo cha hayo mambo mabaya aliyoyaorodhesha hapo nini?

Maana kama hajui chanzo cha tatizo anawezaje kujua njia za kuliondoa Hilo tatizo?
 
No Reforms No elections maana yake ni kupata viongozi sahihi chaguo la watu,sio kuweka matapeli na wezi kila baada ya miaka mitano waakiiba kwenye kila mradi.
 
Back
Top Bottom