Je kuna mwingine atajiuzulu baada ya PM?

Je kuna mwingine atajiuzulu baada ya PM?

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,555
Reaction score
4,080
Makamu wa Rais alijiuzulu kugombea tena.

Waziri Mkuu akajiuzulu kugombea ubunge.

Je kuna mwingine atajiuzulu kugombea kabla ya Oktoba?

Tunafatilia…
 
Back
Top Bottom