Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli ni kwamba huyu hana tofauti na yule kabisa kuhusu demokrasia;ameruhusu watu waongee na kujadili na hata kukosoa;ingawa hata ukosoaji yeye anautafsiri kama ni matusi na wale wanaokosoa...
1 Reactions
2 Replies
217 Views
Napenda kutoa Pongezi kubwa kwa viongozi wetu wa chama na serikali kwa kufanya kazi kwa hekima na busara huku mkitanguliza uzalendo kwa Taifa letu mbele. Narudia tena, ninaiona busara na hekima...
1 Reactions
78 Replies
2K Views
Je Dr. Slaa kugombea urais TZ mwakani? Kuna kila dalili kwamba CHADEMA wanamuandaa Dr. Slaa kugombea urais 2010. Mpambano huo utakuwa mzuri sana, huenda tukamkosa sana Dr. Slaa kwenye bunge la...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Akizungumza katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu Julai 22, alitekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba amesema kwa sasa yuko mkoani Morogoro na anatarajia kuja Dar es Salaam. Pia ameendelea...
26 Reactions
88 Replies
6K Views
Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya...
1 Reactions
5 Replies
504 Views
Wahenga walisema "maji yaliyotulia Yana kina kirefu" CCM NI MAJI YALIYOTULIA" Nashangaa kuona wapinzani wapo busy na kufatilia habari za uchambuzi wa wagombea wa ubunge na udiwani wa CCM huku...
1 Reactions
15 Replies
452 Views
1. Kama mtu anayetegemewa kugombea urais anavunja katiba ya chama chake, akipewa nchi na kipindi cha mwisho, nawahakikishia ataivunja vipande vipande katiba ya nchi 2. Kama kaita Katiba ya Nchi...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Waziri Kombo afungua Mkutano wa 27 wa MCO- SADC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefungua Mkutano wa 27 wa Kamati ya Mawaziri wa...
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Maria kama inawezekana uwe una rwecord unatuwekea kwenye youtube. Naona wamebinya walposikia Heche atahutubia........ tumekwisha
5 Reactions
15 Replies
855 Views
Chini ya uongozi wa Rais Samia, vijiji vyenye huduma ya maji mkoani Geita vimeongezeka kutoka 204 hadi 420 kati ya vijiji 486, huku visima vya maji vikiongezeka kutoka 299 hadi 389 ndani ya miaka...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
Mikopo ya 10% 👇🏽 Chini ya Rais Samia Mikopo ya 10% kwa vijana, wanawake na walemavu Arusha imeongezeka kutoka TZS 3.08bn (2021) hadi TZS 13.55bn (2025), ikinufaisha zaidi ya vikundi 1,380 na...
-2 Reactions
13 Replies
824 Views
Tazama, nasubiri kusikia Mpina na Gwajima wakiukana usukuma wao ila Mungu humpa chochote yoyote amtakaye. Hongera Mama Samia kipenzi Cha Wasukuma na Kanda yote ya ziwa. SAMIA MITANO TENA#...
14 Reactions
49 Replies
3K Views
Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA(NRA), Al-marhumu Prof KIGHOMA ALLY MALIMA alienda Makka katika hijja ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko aliahidi pindi atakapo rudi Tzania, atakuja kutoa...
8 Reactions
481 Replies
80K Views
Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!? Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
11 Reactions
26 Replies
1K Views
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Belarus (Belarusian State Agrarian Technical University - BSATU) na kufanya mazungumzo na viongozi wa chuo hicho wakiongozwa na...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Bimkubwa HATAKI KURUDI anasema Hana Imani tena na Timu aliyonayo na waliomzunguka, anasema kwanza hajasema kama anataka Ila walimlisha maneno maneno. Kwanza anawaza asijerudi ikawa safari ya...
4 Reactions
14 Replies
936 Views
Wanasiasa watawaza zaidi Uchaguzi mkuu wa 2030 badala ya kuwatumikia Wananchi Kuondolewa kwa misaada kutoka Ulaya na Marekani kutafororesha Uchumi Waumini wa Islam na Christians watajazana...
1 Reactions
22 Replies
836 Views
22 Julai 2025 Mzee Dr. Godfrey Malisa atoa utafanuzi tena, tumekosea na na sasa hivi Julai 2025 narudia kufafanua wapi tulipokosea https://m.youtube.com/watch?v=qkFhiIcXePw - Mkutano wa 19...
42 Reactions
112 Replies
6K Views
Tafiti zimefuatilia kwa ukaribu namna kauli za Heche jzinavyokubalika na kuungwa mkono. Alipokuwa Msibani kwa kamanda mwenzao alitamka bila kupepesa macho kuwa CHADEMA na wafuasi wake haitaogopa...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Hawa wamepenya kamati za wilaya 1. Nape Nnauye jimbo la Mtama 2. Peter Serukamba kule Kigoma Vijijini 3. Baba Levo kule Kigoma Mjini 4. Baruhani Muhuza Kigoma Majini 5. Paul Makonda Arusha Mjini...
63 Reactions
279 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…