Ukweli wa kifo cha Kighoma Ally Malima ni upi?

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA(NRA), Al-marhumu Prof KIGHOMA ALLY MALIMA alienda Makka katika hijja ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko aliahidi pindi atakapo rudi Tzania, atakuja kutoa yaliyopo moyoni mwake. Baada ya kumaliza hijja alielekea Uingereza namauti yakamkuta huko.

Ilienea katika kila kona ya Tanzania kuwa inawezekana kuna FITNA iliyopelekea kifo chake though wengine wanasema hakuna FITNA yoyote.

Anayejua vema suala hili atujuze, KULIKONI??
 
Akiwa waziri wa fedha alikwapua fedha kibao za wananchi na kupeleka nje ya nchi (switzland). Halafu aliunda chama chake cha siasa chenye harufu kali ya udini. Inasemekana wakubwa waliiona hiyo na kuandaa mipango ya kuzirejesha fedha hizo nchini. Mungu bariki mipango ilifanikiwa na fedha zote zilirejeshwa BoT. Babu wa watu alipoenda kuchukua hela kiasi ili aendelee na mipango yake ya kuimarisha chama aliambiwa hakuna kitu. Alishikwa na mshtuko mkubwa kiasi cha mwili kushindwa kuhimili. Akakata roho palepale. That's all about Malima.
 
Adamu Malima, naibu waziri wa nishati ana uhusiano na huyu marehemu?
 
allikua na mpango wa kuweka wazi sababu ya kuwa na gap kubwa la elimu kati ya waislam na wakristo kumbuka huyu alikua waziri wa Elimu aliyeanzisha mfumo wa kutumia namba badala ya majina. mtakatifu nyerere alipopata taarifa akamfuata uingereza then malima akarudi maiti. habari ndio hiyo

Mfumo wa namba ulikuwepo kabla Marehemu Malima hajawa waziri wa elimu. Jaribu kuuliza waliosoma kabla huyu jamaa hajapata huo uwaziri wa elimu watakudhibitishia hili. Pia kama namba ilikuwa sababu mbona bado miaka kibao imepita na trend ni ile ile ya ufaulu?
 
kwani wewe una uhusiano wowote na baba yako?

Siyo lazima wote mnaishia na majina ya "Kalagabaho" muwe na uhusiana wa kindugu, huo ndio msingi wa swali langu wala sina mawazo hasi kumuhusu Adam au Marehemu Ally Malima
 
allikua na mpango wa kuweka wazi sababu ya kuwa na gap kubwa la elimu kati ya waislam na wakristo kumbuka huyu alikua waziri wa Elimu aliyeanzisha mfumo wa kutumia namba badala ya majina. mtakatifu nyerere alipopata taarifa akamfuata uingereza then malima akarudi maiti. habari ndio hiyo

Kama mtaendelea kutafua hivi viji-sababu visivyo na mshiko mtaendelea kuwa nyuma ki-ELIMU milele. Ninajua ndivyo mnavyodanganywa huko misikitini.

From the horses mouth, mimi nilifanya mitihani wakati huo Waziri wa Elimu akiwa Jackson Makweta, Rais akiwa Julius Nyerere na tulitumia NAMBA katika mitihani yetu.

Sasa hili la kwamba Prof. Kighoma Malima ndiye aliyeleta mfumo na NAMBA kwa wahitimu linatoka wapi?! FYI, wakati huo Kighoma Malima alikuwa Lecturer UDSM akifundisha economics, hata SIASA alikuwa hajaingia. Ingawa sio vizuri kumsema marehemu lakini Prof. Kighoma Malima alikuwa MDINI sana kiasi cha kujenga ka-msikiti pale Wizara ya ELIMU. Sipati picha kama Jackson Makweta angejenga ka-kanisa wizara ya ELIMU sijui kelele zingekuwa je?
 
Hizo ndio tunaita facts, kwani bila hizi facts watu wachache wenye nia mbaya za kidini wanaweza kutuyumbisha kama taifa.
 
Mfumo wa namba ulikuwepo kabla Marehemu Malima hajawa waziri wa elimu. Jaribu kuuliza waliosoma kabla huyu jamaa hajapata huo uwaziri wa elimu watakudhibitishia hili. Pia kama namba ilikuwa sababu mbona bado miaka kibao imepita na trend ni ile ile ya ufaulu?

Mfumo wa namba za kabla ya Malima ni kuwa ulikuwa na namba na jina na Malima akanzisha kubakisha namba na majina ya mechishwe baadae na namba. Hiyo ndio tofauti.

Baada ya Malima namba na majina zikarudi kama kawa, tena nadhani namba zikabaki kuwa ni serials tu na majina ambayo ni rahisi sana kubagua kwa mfumo uliokuwepo wa kujaza nafasi zilizokuwepo ilikuwa ni rahisi sana ukichukulia kuwa idara za serikali zinaajiri wakatoliki kwa 83%. Kama unabisha hesabu idara uliopo.
 
Kama mtaendelea kutafua hivi viji-sababu visivyo na mshiko mtaendelea kuwa nyuma ki-ELIMU milele. Ninajua ndivyo mnavyodanganywa huko misikitini.

From the horses mouth, mimi nilifanya mitihani wakati huo Waziri wa Elimu akiwa Jackson Makweta, Rais akiwa Julius Nyerere na tulitumia NAMBA katika mitihani yetu.

Sasa hili la kwamba Prof. Kighoma Malima ndiye aliyeleta mfumo na NAMBA kwa wahitimu linatoka wapi?! FYI, wakati huo Kighoma Malima alikuwa Lecturer UDSM akifundisha economics, hata SIASA alikuwa hajaingia. Ingawa sio vizuri kumsema marehemu lakini Prof. Kighoma Malima alikuwa MDINI sana kiasi cha kujenga ka-msikiti pale Wizara ya ELIMU. Sipati picha kama Jackson Makweta angejenga ka-kanisa wizara ya ELIMU sijui kelele zingekuwa je?

bora alipotezwa mapema
 
Mfumo wa namba za kabla ya Malima ni kuwa ulikuwa na namba na jina na Malima akanzisha kubakisha namba na majina ya mechishwe baadae na namba. Hiyo ndio tofauti.

Baada ya Malima namba na majina zikarudi kama kawa, tena nadhani namba zikabaki kuwa ni serials tu na majina ambayo ni rahisi sana kubagua kwa mfumo uliokuwepo wa kujaza nafasi zilizokuwepo ilikuwa ni rahisi sana ukichukulia kuwa idara za serikali zinaajiri wakatoliki kwa 83%. Kama unabisha hesabu idara uliopo.

IMG_4521.JPG

Huyu Mzee anawadanganya sana waislam
 
Alipojiengua CCM na kuhamia NAREA(NRA), Al-marhumu Prof KIGHOMA ALLY MALIMA alienda Makka katika hijja ya UMRA. Kabla ya kwenda kwake huko aliahidi pindi atakapo rudi Tzania, atakuja kutoa yaliyopo moyoni mwake. Baada ya kumaliza hijja alielekea Uingereza namauti yakamkuta huko. Ilienea katika kila kona ya Tanzania kuwa inawezekana kuna FITNA iliyopelekea kifo chake though wengine wanasema hakuna FITNA yoyote. Anayejua vema suala hili atujuze, KULIKONI??

Mwanae ambaye ni Naibu Waziri wa Nishati ya Madini, anaweza kulijua vema suala hili. Muulize tafadhali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom