Bimkubwa wangu hataki kurudi kwa mume wake

Bimkubwa wangu hataki kurudi kwa mume wake

simon2016

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
610
Reaction score
1,744
Bimkubwa HATAKI KURUDI anasema Hana Imani tena na Timu aliyonayo na waliomzunguka, anasema kwanza hajasema kama anataka Ila walimlisha maneno maneno.

Kwanza anawaza asijerudi ikawa safari ya mwisho kama alienda zake, ni busara zilitumika alivyorudi Ilibidi atafutwe mlimbwende aonekane karuka kutano kwa sababu ya mlimbwende Ila kutano ! na mlimbwende wapi na wapi ?

Kwa sasa majadiliano makuu kashindwa kuyafunga kule katikati ya bahari kuu na vikao havikai ni kuogopana na yeye Hana maamuzi ni Dua zilizobakia.

Imani na maeneo haipo, yeye Yu tayari kuyaachia mamlaka Ila walio nyuma yake hawataki kabisa na bahati mbaya wanajiona wanajua hawana wa kuwatisha, Ila yeye anaogopa ana subiri wampe uhakika arudi la sivyo hamna maamuzi yatapatikana na desemba 25 hii apa Bado miezi miwili TU lahasha akikubali itakua kama mshituko kila kitu kitafanywa haraka haraka.

Ila hao wanaotaka arudi wakimjulisha atawakuta wanaomsubilia wanajua hamna litakalo pangwa na likawa na kwa sasa wanajua hamna mwenye nyumba ni pasuko kubwa sana.

Hii ndoto yangu bwana sijui kama ninayoyaandika yapo sawaa na yanayotokea niliishia kwa kuota kwamba Mama yangu HATAKI KURUDI kwa Mume wake.

Hali si shwari yoyote anaweza kushinda au kushindwa Ila kwa gharama kubwa sana ambayo thamani yake ni uhai.
Mama yangu sisi wanao tutakaaje usipofanya maamuzi sisi na Mzee wetu tunakusubili urudi tule na nyumba iwe Safi.

Nwatakia Kazi njema msiache kunipa ushauri Mzee wangu Yuko taabani hawezi ishi bila mke wake.


Kwa sasa aataka vikao vya online TU Hana Imani tena anajua Simu itamuhusu akizembea padogo TU.

Hii ni kweli tuishi kwa kuogopana hivi hivi nchi itaenda hii.
 
Tafuta demu mwenyw makelele akiwa anapigwa paipu ataondoka tu asubh

NB: Nimecomment bila kusoma uzi
 
Hivi huu uzi umepita kwenye mikono ya Google translation au???
 
Waite wana ndugu hapo om, mtazame TV pamoja, huenda kuna ujumbe mtapokea na mtaweza kumuelewa Mama yenu kwanimi hataki kurudi. Jitahidi iwe siku ya Jumamosi.
 
Kabla ya kucomment

Jiulize kwa nini uzi uko JUKWAA LA SIASA na sio JUKWAA LA MMU?
 
Nwatakia Kazi njema msiache kunipa ushauri Mzee wangu Yuko taabani hawezi ishi bila mke wake.
Akili mnemba ipo kazini. Maneno yoooote haya unajaribu kuchambua la kushika, hulioni hata moja!
Lakini , ndiyo hivyo tena, mada tayari sha pandishwa ukumbini.
 
ANANUKA ANANUKA
Kama asipo ondoka taifa litazama..pia muundo wa muungano ulipo fikia siyo sawa mzanzibar kuwa Rais wa JMT
LOoooh!

Kumbe ndiye yeye?
Sikujua. Nisinge hangaika kuuliza swali la kipumbavu kama hilo.
 
Shida bimkubwa wako alikuwa ana wanaume watatu huko kwake,

na hapo kwako kuwa makini, mjomba kipara cha uwalaza nae asije akawa ana iomba
 
Waite wana ndugu hapo om, mtazame TV pamoja, huenda kuna ujumbe mtapokea na mtaweza kumuelewa Mama yenu kwanimi hataki kurudi. Jitahidi iwe siku ya Jumamosi.
Kwani mme ni nani?? ,lkn watoto si wanamjua? Majirani wajulishwe tafadhali ili waamue ugomvi.
 
Back
Top Bottom