Cornestone
Member
- Jun 26, 2025
- 20
- 5
Chini ya uongozi wa Rais Samia, vijiji vyenye huduma ya maji mkoani Geita vimeongezeka kutoka 204 hadi 420 kati ya vijiji 486, huku visima vya maji vikiongezeka kutoka 299 hadi 389 ndani ya miaka minne tu.
GEITA TUNATIKI✅
GEITA TUNATIKI✅