Vinara wa rushwa ndiyo viongozi fake: Samia, Mwigulu, Kikwete na Rostam. Ndiyo maana Polepole hatunaye leo na Lissu kafugwa leo bila hata kuhukumiwa!!!
Bila kuwaondoa hawa Tanzania tutabaki kwenye shimo.
Acha kulia lia weka mkakati mezani kwa namna gani tunawaondoa? maana usifikili kuwaondoa hao watu ni kama kuua mende waliopo kwenye kabati lako la nguo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.