Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima...
Ndugu zangu Watanzania,
Inasikitisha sana ,inaumiza sana na inahuzunisha sana kuona ,kutazama mateso ya njaa wanayopitia Watoto wanaoishi eneo la Gaza. Watoto wanaangamia ,watoto wanateseka kwa...
Wasalaam.
Inatafakarisha sana CCM imeongoza taifa la Tanganyika tangu uhuru lakini bado barabara ni mbovu, maji safi ni mtihani, wanafunzi bado wanakaa chini huko viongozi wa CCM wakitembelea ma...
Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Aida Kenani, amedai kuzuiwa na Jeshi la Polisi kufanya mkutano wa ndani...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Agnesta Kaiza, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikushinda Jimbo la Segerea katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa nguvu yake ya kisiasa, bali kwa sababu ya...
Salaam kwenu Wana GT.
kwa haeshima ya kuwa GT, hebu tukwapue hili jukumu alilowapa Pasco TWAWEZA, tujadiri ni kwanini Wananchi wengi kiasi hicho wajiandikishe kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana...
Rwanda ilifungia makanisa 8000 ambayo yalikuwa yanaendesha shughuli zake kihuni. Mungu wa mbinguni yupo, na nina imani uamuzi ule Mungu aliukubali kabla hata serikali haijautoa.
Kanisa LA...
Balozi Polepole kaonyesha kivitendo maana halisi ya Demokrasia.
Hakutaka kuwa mtu mnafiki, kucheka usoni lakini hukubaliani na yanayotokea hadharani kisiasa.
Kaonyesha kuwa UCHAWA NI DHAMBI ya...
Majina yoyote tutakayoletewa na CCM kama wagombea wa Majimbo yanayonihusu Iringa mjini na Kawe nitayapokea kwa mikono miwili
Tofauti na Kenya ambako Mbunge ni lazima awe msomi kwa mujibu wa...
TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais...
Camanda wa mama atamani Rais Samia aiongoze dunia nzima,Yaani awe rais wa dunia ili dunia ipate maendeleo ya haraka kama ilivyopata Tanzania ktk kipindi chake cha uongozi
Baada ya Jaji Hamidu Mwanga kusikiliza hoja za ombi la kutaka ajitoe kwenye Kesi namba 8323/2025 ambayo imetoa zuio la muda kwa Chama cha Chadema kufanya shughuli zozote zile kiutendaji na...
Rai yangu kwa vyombo vyetu. Naomba vyombo vyetu vibadili utamaduni wa kuwakumbatia na kuwasikiliza wenye MAMLAKA tu na kuwaacha UKIWA Watanzania wengine wakinyanyaswa na kutaabishwa kwa kila...
Tangu nchi hii ipate uhuru, hakuna chama cha upinzani kilichowahi kushika hatamu, Je, hii ni kusema CCM ni bora sana? Je, CCM pekee inazalisha genes za wazalendo wa kweli? Kwamba CCM ndiyo chama...
Wanakosali waumini wa Gwajima kwa sasa kanisa la ABC Dar ni la Kahama limesajiliwa Kahama. Hilo ni la watu wa nchi jirani Zenye vurugu wamejaa kibao Kahama
Na wanaendelea kuja Dar kutoka nchi...
Anaye Pambana na Samia, Apambane na Kivuli cha Magufuli – Ni Kama Walivyopambana na Magufuli Walivyokuwa Wanapambana na Nyerere
Na Costantine V. Magavilla
Katika kuendeleza mada ya janga la...
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA
Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya...
Hivi kweli mnadhani kuhalalisha kumwaga damu za wasio na hatia kwa minajili ya political survival na phantom legitimacy ni ujasiri?
Je, mioyo yenu haikuiwasha shame mnapobadilisha utu kuwa mere...
Waislamu huwaita Wakristo makafiri na kuwa Mungu wao sio wa ukweli hii ni kwa mujibu wa imani yao.
Wakristo nao kwa mujibu wa imani yao wanaamini kuwa kuna Mungu mmoja tu. Nae ni Mungu wa Yakobo...