LopoLopo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2025
- 264
- 152
TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA
Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3, Rwanda B2 na Uganda B2 (Moody's Page)