Access Group: Rais Samia mwanamke mwenye nguvu zaidi Africa

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,520
Reaction score
2,201
IMG-20250708-WA0066.jpg

RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA

Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam.

Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya kijamii na kiuchumi ambayo viongozi wanawake hufanya katika Bara la Afrika.

Watanzania Oktoba Tunatik✅
 
View attachment 3404238

Hakuna kama Mama Samia
 
Kwi Kwi Kwi! Mwenye nguvu anayeogopa Reforms, Patamu hapo!
 
View attachment 3404238
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA

Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam.

Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya kijamii na kiuchumi ambayo viongozi wanawake hufanya katika Bara la Afrika.

Watanzania Oktoba Tunatik✅
IMG-20250715-WA0007.jpg
 
These are nigerians
 
Atawamaliza CHADEMA sasa.
 
Mwenye nguvu MUNGU tu.Magu alitunisha mizuli tetemesha watu now yuko 6 feet under.Aishi kwa kiasi tu namshauri Raisi Samia.Aangalie asiinize laana kwenye familia yake ona watoto wa Nyerere wote useless Mama Maria kaachwa hai na Mungu ashuhudie na anateseka kweli.Afanye vitu kwa haki ,kuna wanaume wanamzunguka wanampa ushauri mbaya sana haujaahi kutokea kuanzia Tz iumbwe aisee.
 
View attachment 3404238
RAIS SAMIA ATUNUKIWA TUZO YA WANAWAKE WENYE NGUVU AFRIKA

Rais Samia apokea tuzo maalumu ya wanawake 100 wenye nguvu kutoka kwa Access Bank Group. Tuzo hiyo imewasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Access Tanzania Protase Ishengoma ikulu, Dar es Salaam.

Tuzo hiyo imetambua mchango wa mageuzi ya kijamii na kiuchumi ambayo viongozi wanawake hufanya katika Bara la Afrika.

Watanzania Oktoba Tunatik✅
Hongera zake anastahili. Iron lady of Tanzania.
 
Back
Top Bottom