Uongozi Muhimbili unafisadi wagonjwa NHIF

JohnShaaban

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
464
114
Admin naomba msihamishe hii kwa kuwa inahitaji msukumo wa kisiasa.

Uongozi wa Muhimbili NH (MNH) umekuja na ufisadi mpya unaosababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa wa NHIF.
 
unaumwaa?????????? au hujui namna ya ku post taarifa. jaribu kueleza kwa upana wanavyofisadi ili watu wachangie
 
Back
Top Bottom