M4c ndani ya Babati soon.

M4c ndani ya Babati soon.

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
baada kumalizika kwa kikao cha bunge kinachoendea hivi sasa M4C inatinga ndani ya Babati mjini na Babati vijini kwa muda wa wiki mbili, kuchakaza magamba kabisa, operesheni hii itaongozwa na Godbless Lema, Joshua nassari, Noel olevaroya, James Olemillya Allya Bananga, na mh mbunge wa Babati mjini Babati mh sana Pauline Gekul.
 
Kuweni makini sana na mitego midogo midogo itayowaharibia programe zenu.
 
Ni muda muafaka sasa kwa M4C ku-operate katika new version/face kwa kuwatumia viongozi husika wa CHADEMA wa hayo maeneo badala ya viongozi wa kitaifa tu. Tuwatumie viongozi wa CHADEMA wa mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji, et al. Hii itakuwa na mafanikio zaidi. Ni ushauri wangu tu.
 
Imarisheni uongozi wa wilaya, jimbo, mitaa/matawi na shina ili viongozi wakuu wakipita kazi ya kuleta mabadiliko iendelee
 
Ni muda muafaka sasa kwa M4C ku-operate katika new version/face kwa kuwatumia viongozi husika wa CHADEMA wa hayo maeneo badala ya viongozi wa kitaifa tu. Tuwatumie viongozi wa CHADEMA wa mkoa, wilaya, tarafa, kata, vijiji, et al. Hii itakuwa na mafanikio zaidi. Ni ushauri wangu tu.

Mawazo mazuri mkuu. Viongozi wa kitaifa wasaidiane na viongozi wa maeneo husika katika operation za chama kwa sababu chama ni mali ya wanachama. Ukitegemea viongozi wa kitaifa itaonekena CHADEMA ni chama cha viongozi hao. Pia viongozi wa maeneo husika kazi yao kubwa ni kueneza sera za chama kwa malengo ya kupata wanachama wapya na kumaintain waliopo ili kufikia lengo kuu la kushika dola ili kutumikia wananchi
 
Ni kweli kabisa mkuu kuwajengea uwezo wenyeji wa eneo husika ndio suluhisho hamna njia ya mkato lasivyo 2takukua 2natwanga maji kwenye kinu
 
Kila la heri katika operesheni yenu. Hakika mabadiliko ya kweli na UHURU wa kweli vitaletwa na CHADEMA... People's.....
 
makamanda tuko pamoja wala msiwe na shaka tutashirikiana na viongozi wa kata matawi na wilaya Babati
 
baada kumalizika kwa kikao cha bunge kinachoendea hivi sasa M4C inatinga ndani ya Babati mjini na Babati vijini kwa muda wa wiki mbili, kuchakaza magamba kabisa, operesheni hii itaongozwa na Godbless Lema, Joshua nassari, Noel olevaroya, James Olemillya Allya Bananga, na mh mbunge wa Babati mjini Babati mh sana Pauline Gekul.

Hivi bado M4C ipo? Ni ya nini tena wakati cdm wameshamalizwa baada ya mauaji ya Mwangosi? Chezea wenye dola weye!
 
Back
Top Bottom