Lipumba, mdhamini mtoto aliyekojolea kurani

amesema waislam wana mgogoro na serikali,ni upi tena? mbona waislam kuiba na kuharibu makanisa hasemei hayo? lkn kwa kuwa chama chao kina hisa na pondo ndio maana,lipumbav ni mdini sana na ndio maana prof Abdala alivyotambua hilo akaikimbia KAFA.
 
kaka hizi nakala na waraka wazitoa wapi ? kumbe hawa majamaa wako hivi... wakristo nao wangefanya hivi kikwete angeshinda? huu ni uuuuujingga sana ..aisee

kwani wakiristo si wa Dk slaa? kwani nani asiejua kama Chadema ni chama cha wakiristo?
 
amesema waislam wana mgogoro na serikali,ni upi tena? mbona waislam kuiba na kuharibu makanisa hasemei hayo? lkn kwa kuwa chama chao kina hisa na pondo ndio maana,lipumbav ni mdini sana na ndio maana prof Abdala alivyotambua hilo akaikimbia KAFA.
Prof Lipumba ameona mbali anajua maana ya Imani yake mbele kama DK SLAA halafu ndio siasa
 
amesema waislam wana mgogoro na serikali,ni upi tena? mbona waislam kuiba na kuharibu makanisa hasemei hayo? lkn kwa kuwa chama chao kina hisa na pondo ndio maana,lipumbav ni mdini sana na ndio maana prof Abdala alivyotambua hilo akaikimbia KAFA.

Ni mchumi daraja la pili baada ya mwigulu
 
kwani wakiristo si wa Dk slaa? kwani nani asiejua kama Chadema ni chama cha wakiristo?
nani kakuambia wakristo wana akili finyu kiasi hicho cha kuchagua raisi kwa vigezo vya udini? yaani nimeanza amini tanzania hatuwezi endelea... kwa stairi hii bora waruhusu uraia wa nchi mbili tu....tatizo tuna vilaza wengi hapa
 
kwani wakiristo wanaishi angani? kwanini 2010 waliamua kumpigia DK SLAA? mikoa yenye wakiristo wengi kama mBeya ndio Dk slaa alipopta kura nyingi. au unataka akili finyu gani?
 
Tanzania yaelekea kuzimu Muda si mrefu, viashiria vya threat ni highest
 
Back
Top Bottom