Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,760
Lengo letu si kushabikia mambo ya ccm, maana hayatuhusu, lakini tunalazimika kuandika haya ili kuonyesha Ukuu wa Mungu.
Tunafurahi, chawa hana akiliKwahy asipopita, nyie chadema mnapata ahueni gani?
😆😆😆😆Shi shi food anataka ubunge na standard 4 yake hii nchi mbona tumeweka vituko sana
Kiukweli Uchaguzi haupoMimi nipo na, no reform no election
Hoja ya elimu ya mgombea imeshapoteza nguvu kwenye nchi hii. Wasomi tulionao Bungeni na Serikalini wameshindwa kuufanya usomi uonekane kuwa na thamani kwa taifa. They’re all corrupted and are as useless as their uneducated colleagues!Shi shi food anataka ubunge na standard 4 yake hii nchi mbona tumeweka vituko sana
Kwahy hamtaki chawa ila mnataka wawe wanaccm?Tunafurahi, chawa hana akili
Nimebubujikwa na machozi ya furaha kuona wahuni wasojua kusoma na kuandikwa wanawekwa pembeni bado 4m 4 failure nae awekwe pembeniLengo letu si kushabikia mambo ya ccm, maana hayatuhusu, lakini tunalazimika kuandika haya ili kuonyesha Ukuu wa Mungu.
View attachment 3425224
Tumefurah sana make uchawa ni rahanaKwahy asipopita, nyie chadema mnapata ahueni gani?
😆😆😆😆Nimebubujikwa na machozi ya furaha kuona wahuni wasojua kusoma na kuandikwa wanawekwa pembeni bado 4m 4 failure nae awekwe pembeni
TUNDULISU
President
Hongera sanaNimebubujikwa na machozi ya furaha kuona wahuni wasojua kusoma na kuandikwa wanawekwa pembeni bado 4m 4 failure nae awekwe pembeni
TUNDULISU
President
Malipo ni hapa hapa watanyooka tu😆😆😆😆
Tulijua utaokoka tuMalipo ni hapa hapa watanyooka tu
Nimeokoka na nimejua njia ya haki na nimetubuTulijua utaokoka tu
Mungu apokee dua zako na akusamehe makosa yako, AminaNimeokoka na nimejua njia ya haki na nimetubu