Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kinaoendelea Tanzania ni mfumo wa kifamilia, kifisadi na kiukoo unaovaa kanzu ya "amani na utulivu". Tuuchambue kwa kejeli kali na ukweli mchungu: 1. Salma Kikwete kapita bila kupingwa Mama wa...
1 Reactions
4 Replies
347 Views
Mimi nimetangaza nia ya kuwania urais wa tanzania huwezi amini kuna watu wamenichukia jumla wengine wanaombea nifanye blunder ili waje kusema tulijua kosa langu ni kutangaza nia na ndoto ya kuwa...
12 Reactions
40 Replies
1K Views
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Kujiuzuru kwa Hamphrey sio kwamba ni ajali au imetokea tu kama mvua za masika la !! Kuna mkakati mzito kutoka ndani na nje ya nchi , Polepole mpaka anaamua kujiuzuru ni kwamba ni yeye ndio...
27 Reactions
109 Replies
6K Views
Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja, Agosti 1, 2025, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini...
1 Reactions
9 Replies
658 Views
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke, Holle Makungu, amesema kuwa katika kipindi cha Aprili hadi Juni mwaka huu, taasisi hiyo imewahoji na kuwaachia kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Jesca Magufuli (29), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, akiwani...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ambaye hivi karibuni aliteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kugombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini ameendelea na mchakato wa kujitambulisha kwa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu Mtia nia wa ubunge kupitia CCM Hussein Gonge akiomba kura kwa wajumbe ameahidi kuifuta mikopo ya kausha damu huku akieleza kuwa anfahamu mahali atakapotoa fedha zisizokuwa na riba.
1 Reactions
11 Replies
579 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza kwenye ufunguzi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo, leo tarehe 1 Agosti, 2025 amesema; "Mhe. Rais...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 2025 unakaribia kwa kasi, lakini bado Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanaendelea kutengwa na mchakato wa kidemokrasia. Pamoja na miaka ya mijadala na ahadi kutoka...
0 Reactions
2 Replies
297 Views
Mgombea Ubunge wa Viti Maalum kupitia kundi la Vijana, Lightness Greyson Kihombo (23), ameomba kura mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa...
0 Reactions
3 Replies
583 Views
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema hakuna sheria inayoruhusu kura za mapema kupigwa kwa upande wa Tanzania bara katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu. Kura hiyo ni...
0 Reactions
4 Replies
454 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Jackobs Mwambegele, wakati akizungumza na Wahariri wa vyombo vya Habari Jijini Dar es Salaam amesema...
1 Reactions
4 Replies
642 Views
BEIJING, Julai 30 – China imeanzisha sera ya kuwaruhusu raia wa nchi 75 kuingia nchini bila ya kuwa na visa, pamoja na mikataba ya pande zote ya kusameheana visa, ikiwa ni sehemu ya juhudi zake...
1 Reactions
9 Replies
586 Views
REA YATOA ZAIDI YA BILIONI 4 KUZALISHA UMEME WA MAJI LUPALI 📌Utekelezaji wa mradi wafikia asilimia 98 📌Bodi ya nishati Vijijini yasisitiza mradi ukamilike kwa wakati 📌Mradi kupunguza matumizi...
0 Reactions
1 Replies
332 Views
Hebu zisome mwenyewe halafu Tafakari. Eti hivi ndivyo yatakavyokuwa Malumbano Bungeni. Bali mimi naamini hakuna Uchaguzi 2025 Tanzania
0 Reactions
0 Replies
195 Views
Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western...
15 Reactions
207 Replies
7K Views
Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom