CHADEMA: Katiba mpya si ya wananchi!

CHADEMA: Katiba mpya si ya wananchi!

Freshthinking

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
621
Reaction score
108
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kushtukia mchakato wa Katiba Mpya nchini na kubashiri kuwa Katiba hiyo haitakuwa na tija kwani inalenga kuwalinda na kuwanufaisha watawala badala ya wanachi.
Chadema wamedai kuwa pindi kitakaposhika madaraka, chama hicho kitaamua haraka kuisuka upya Katiba hiyo ili iwape nguvu,mamlaka na masilahi wananchi.

Hayo yalisemwa kwenye mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Ruaha wilayani Kilosa na Mwanasheria wa chama hicho, Mabere Marando.

Source: Mwananchi 26/12/2012

Bila ushabiki tujadili hii kauli.
>>> Hivi ina mantiki yoyote kwa sasa ilhali mchakato wa katiba bado unaendelea?
 
Hadidu za rejea zinazuia mjadala katika mambo fulani.hivyo kwa vyovyte vile kuna maoni ya wananchi yatatupwa endapo yatagusa maslahi ya wakubwa
 
Hata maaskofu wameonyesha kuwa na mashaka na katiba itakayopatikana kwani tume ni ya upande mmoja zaidi. refer tamko la TCF, desemba 6,2012.
 
Wewe una imani na kinachopikwa kwa masharti kutoongelea baadhi ya mambo, ongelea kurudi kwa tanganyika uone, haina tija kwa taifa lao yes
 
Lakini si walikubali uhalali wa mchakato wenyewe; wakubali na matokeo yake...
 
Tatizo la CHADEMA ni kwamba mtu yeyote anaweza kuibuka tu na kutoa tamko kwa niaba ya chama!!!
 
Hata mimi wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge na madiwani wa viti maalum wasipotolewa na tume huru ya uchaguzi isipokuwepo sitakubaliana na katiba mpya!
 
Hata mimi wakuu wa mikoa na wilaya, wabunge na madiwani wa viti maalum wasipotolewa na tume huru ya uchaguzi isipokuwepo sitakubaliana na katiba mpya!

Jambo walilokuwa wanatakiwa kufanya CHADEMA kwanza ni kuwashawishi wananchi kwenda kwa wingi kutoa maoni yao, pili wao (CDM) wana nafasi yao ya kutoa maoni kama taasisi. Baada ya hapo waangalie rasimu itakayopendekezwa. Kama rasimu haitajumuisha yale ambayo wananchi wengi ndipo wangekuja na kauli kama hizi. Lakini katika hii hatua, CHADEMA wamekurupuka!
 
UNajipoza mr Prezzo aka KIgagula wewe si uko kwenye sekretariati au unahudumia ya chauma kwanza Mr sera ya mafuta na gesi tumekuchoka kama mchuzi wa kunguru
 
UNajipoza mr Prezzo aka KIgagula wewe si uko kwenye sekretariati au unahudumia ya chauma kwanza Mr sera ya mafuta na gesi tumekuchoka kama mchuzi wa kunguru

Mtajiua this time kwa chuki za kupindukia dhidi ya Zitto! Kwani Zitto wako wangapi duniani, naona kila anayepost kinyume na mawazo yako ni Zittto. Tunajadili mchakato wa katiba. Ni kipi CHADEMA wanachotaka ambacho hakikuingizwa au kimezuiwa kwenye mchakato wa katiba mpya? Walikwenda kuonana na rais Kikwete kwa ajili ya nini Ikulu?
 
Ha ha ha Kwi kwi kwi Zitto aka Freshthinking aka Prezzo KIgagula nakuuliza kwenye hayo maamuzi ulikuwa wapi ,wewe saa hizi unalaumu ,au ndio ulikuwa unaandika vyeo vya chauma na masalia,Wewe Zitto ni marehemu wa kisiasa na ukweli mimi binafsi nakuchukia sana tena sana kwa unafiki wako uzandiki,ulozi na uchawi, umekuja hapa na na ID nyingine wewe mwenyewe umekili hapa kwamba ndio wewe vipi unalaumu chadema wakati ulipaswa uwe sehemu yao
unadhani KIkwete atakupa uwaziri au unadhani chama kitakufa au unadhani utasimamisha mabadiriko acha kujiipooza wewe umeoza kisiasa huna mchango kwa taifa hili kwenye mageuzi unayadumaza wewe ni kimelea tuu
 
Ha ha ha Kwi kwi kwi Zitto aka Freshthinking aka Prezzo KIgagula nakuuliza kwenye hayo maamuzi ulikuwa wapi ,wewe saa hizi unalaumu ,au ndio ulikuwa unaandika vyeo vya chauma na masalia,Wewe Zitto ni marehemu wa kisiasa na ukweli mimi binafsi nakuchukia sana tena sana kwa unafiki wako uzandiki,ulozi na uchawi, umekuja hapa na na ID nyingine wewe mwenyewe umekili hapa kwamba ndio wewe vipi unalaumu chadema wakati ulipaswa uwe sehemu yao

Ha ha ha Kwi kwi kwi!! Utakujakupata ugonjwa wa moyo ukisia CDM imempitisha kuwa mgombea urais! Think outside the box!
 
Ha ha ha Kwi kwi kwi!! Utakujakupata ugonjwa wa moyo ukisia CDM imempitisha kuwa mgombea urais! Think outside the box!
Ha ha ha si mandondocha wapitishe an empty tin kama huyo anaanzisha thread anajijibu mwenyewe kwa ID tofauti tofauti changanya na za masalia duh ,unakesha hapa ni kwa sababu umebanwa hupumui at you are age unaonekana kigagula cha mika 70 uchawi hurogi mtu akakupitisha wewe never kwanza utango.olewa mapema kabla hujatuingizia usiku ,
 
Ukichaguliwa tuu ndo mwisho wa upinzani kuisha, watu wamepoteza imani na wewe kaka. Na CDM wakikuchagua basi wachawi wako watakuwa na nguvu kupindukia ila Mungu kwa kuwa anapenda kuwakoa watu wake hasa malaika zake wanaoangamia kwa kukosa huduma muhimu ili hali watu wengine wanapewa hela kuhujumu CDM MUNGU ATATUSAIDIA KWA VYOVYOTE.
Ha ha ha Kwi kwi kwi!! Utakujakupata ugonjwa wa moyo ukisia CDM imempitisha kuwa mgombea urais! Think outside the box!
 
Mimi naomba tuu huo uchunguzi utakapoisha basi saa nane atoe huo ushaidi wa video ITOLEWE KWENYE VYOMBO VYA HABARI na ikiwezekana CHADEMA wanapokwenda kwenye mikutano yao waende na hiyo video ili wananchi wajue ukweli. MUNGU NJOO HARAKA JAMANI KABLA WATU WOTE HAWAJAANGAMIA.
 
Wanasiasa wa Tanzania msitufikirie wananchi wote wajinga na tuna mapenzi na vyama vyenu.Tulio wengi tunawaangalia kwa makini na tunatafakari nini mnafanya kwa faida ya nchi yetu!
 
Mchakato? Sijui kwako neno mchakato linamaanisha nini, kwani hata hao cdm wanalalamimikia huo mchakato.
Sio mchakato tu, CDM wanalalamikia kila kitu provided hawajakianzisha wao. Mnatamani hii nchi iwe ya chama kimoja maana mnaonekana hamuwezi kukubali mawazo ya wenzenu!
 
Back
Top Bottom