Mhe. Mbowe nakusalimu sana. Nimesoma kupitia mitandao ya kijamii kuwa unataka kuchukua Fomu ya uteuzi ya URAIS kupitia CHAUMMA. inawezekana kuwa ni kweli au siyo kweli. Mimi ni Mzee wa makamo...
Mtume Mwamposa amesema ndio sababu Unaweza kukuta Mtu alikuwa anashika namba ya mwisho darasani lakini amewaajiri wale waliokuwa Wanafaulu mitihani
Duniani kuna Wakati na Bahati, kuna Wakati na...
GT
Hali ndo kama mnavyoiona. Hapo Lisu bado hajatoka kudadadeki maCCM Mmekataliwa duniani na binguni. Endeleeni kulazimisha ila karma haijawahi kukosea njia
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia...
Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
My Take
Maisha bila Chadema yanaendelea na maandalizi ya Uchaguzi yamepamba moto.
Ukisusia wanakula.
==============
Bunge la 12 la Tanzania limevunjwa rasmi leo kufuatia maelekezo ya Rais Samia...
CCM Ina wenyewe kwa kweli.
Mtu mmoja, kateuliwa:
1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini
2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro
3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake...
Kumekua na sababu nyingi kwamba kuanzia ifakara, malinyi mpaka songea kuna mito mingi sana na hii pia kutoka ifakara mpaka njombe ni muhimu sana ikajengwa kwa lami ili kulifungua hili eneo
Uwezo...
Wengi wa watu wanachukia sana wanasiasa kwa sababu wanawaona wana sifa mbaya ni ukweli wako wenye sifa mbaya na nzuri ni kama tu Kwenye biashara kuna ambao ni wafanyabiashara waaminifu na ambao...
Enzi za Kikwete, Tundu Lissu ananyukana kwa hoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali... Lukuvi anaingilia... Mara Chenge naye anaibuka... Watu wanagonga meza, mara kwa mbali unasikia "Kuhusu...
Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais wa JMT kupitia ACT Wazalendo mwaka 2015 na kushindwa. Baadaye aliteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa katika serikali ya CCM. Mwaka 2020 Queen Sendiga aligombea Urais...
MTIA NIA UBUNGE AANZISHA FUJO
Mtia nia ya Ubunge Jimbo la segerea ndugu Rajabu Amiry afanya fujo katika kikao cha maelekezo kwa watia nia ya ubunge wilaya ya ilala huku akiwa ameandaa kundi...
Mkazi mmoja wa Bwina Chato ndugu Majumbi amaejipatia Tsh laki tatu na sabini baada ya kushona shati la kijani, suruali nyeusi na kofia ya kijani iliyoandikwa SSH 2025
Hii ndio inaitwa akili mkichwa.
Nimeikuta hii video mahali ila ikanifikirisha Sana. Nikaiweka kwenye muktadha wa changuzi zinazofanyika Tanzania.
Kwanza mama kwenye hii "clip" ni mfumo wa kiuchaguzi Tanzania na mtoto ni CCM...
Siasa inahitaji wachache wenye akili kumudu kwa wakati flani, au kipindi fulani kuweza wachezesha gwaride. Malengo yanapotimia kwa wakati huo, usiwaone tena wakendeleza Gwaride lao.
Siwezi...
Wakuu!
:D:D Watia Nia naona wanataka kuonewa huruma siyo Sera ndio ziwabebe
Mtia nia wa ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Edward Nguvu Chengula maarufu kama...