Lissu kunguruma mshangano-songea leo!

ungonella wa ukweli

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,210
555
Wana jf, nadhani ni wazima wa afya na mungu atawajalia kuona mwaka mpya 2013! Wakuu nasikia kamanda Tundu Lissu bado yupo Songea, kusini mwa Tanzania akiwazibua masikio wananchi.

Na leo inasemekana atahutubia mkutano mwingine eneo la mshangano nje kidogo mwa manispaa ya Songea!

Tunaomba makamanda waliopo songea watujuze kinachoendelea huko! Mungu awabariki wote katika kuupokea mwaka mpya!
 
Wana jf, nadhani ni wazima wa afya na mungu atawajalia kuona mwaka mpya 2013! Wakuu nasikia kamanda Tundu lissu bado yupo songea, kusini mwa Tanzania akiwazibua masikio wananchi. Na leo inasemekana atahutubia mkutano mwingine eneo la mshangano nje kidogo mwa manispaa ya songea! Tunaomba makamanda waliopo songea watujuze kinachoendelea huko! Mungu awabariki wote katika kuupokea mwaka mpya!

CHADEMA chama changu!!! Mtaua wapangaji Magogoni jamani!!! Yaani mnaumaliza mwaka 2012 kwa kupiga za kichwa tu!!
 
wewe kama sio mkabila basi mdini kama sio we mkanda kama sio basi mshirikina ..........songea si tz.....

Acha ujinga wewe? swali langu lina element gani ya udini au ukanda? watu ambao mnajifanya kupinga udini na ukanda wengi wenu ni mafisadi au msio raia au mnanufaika kwa namna moja na udhaifu wa serikali ya ccm.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom