Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
View attachment 77688Kuna watu wanasema kuwa Chadema inakosoa tu, hawajawahi kusikia sera zake. Inawezekana kuwa hawajajipa nafasi kuhudhuria mikutano ya Chadema na kusoma ilani ya uchaguzi ya 2010-2015.
Kwa kuwa leo Ritz ameanzisha mada https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...nu-na-siyo-kuwa-mabingwa-wa-kukosoa-tu-5.html, na kwa kuwa kwenye mada hiyo kuna wengi wamesema hawajawahi kuzisikia au kusoma sera za Chadema ninaweka yafuatayo.
1. Video clips mbili ambazo Mh. John Mnyika anaelezea sera za Chadema. Zote mbili ni jumla ya nusu saa. Huu ni muhtasari wa sera za Chadema.
View attachment 77688
2. Naweka hapa nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya Chadema ya 2010-2015, yenye kurasa 90. Msiwe wavivu wa kusoma. Iko kwenye attachment hapo chini.

Last edited by a moderator: