JF ninaomba sala zenu leo ni kura za maoni!

Apr 27, 2006
26,588
10,376
Wana JF, leo ninakwenda kusimama mbele ya Wabunge wote wa CCM kuomba kupitishwa kwenye kura zao za maoni ya kugombea Ubunge wa EAC, ninaamini niaenda pale nikiiwakilisha JF sasa ni muhimu sana leo tukaweka tofauti ya itikiadi zetu pembeni na kwua kitu kimoja katika kuombeana na kutakiana heri, kupita kwangu ni kupita kwa JF.

- Nimesema huko nyuma na ninasema tena mimi Mwanachama wa CCM, tena hai na wa muda mrefu sana toka mwaka 1982 nikiwa JKT Oljoro kwa mujibu wa sheria ya mwaka mmoja baada ya kusomeshwa bure na Serikali ya Awamu ya kwanza. Nia na madhumuni yangu siku zote ni mabadiliko ya mwenendo wa kisiasa kwa taifa letu, ili tuweze kusonga mbele kulingana na wakati, ninaamini kwamba wengine wakija na ideas kutoka upinzani na wengine tukija na the same ideas kutokea ndani ya CCM, siku moja tutalisaidia taifa letu kufikia pahali linapotakiwa kwa nyakati hizi za kisayansi.

- Kwa kifupi ninataka kwenda EAC, ili kulisimamia taifa langu kwenye masuala ya interest za kiuchumi na hasa Ardhi yetu nikiwa ninajua kwamba nchi zingine Nne za Jumuiya hazina sheria za serikali za kusimamia Ardhi zao kwa sababu hata hiyo Ardhi hawana tena yote ilishanunuliwa na wananchi wao, sisi tu ndio bado tuna Ardhi inayosimamiwa kisheria na serikali yetu. Pia ninataka kuhakikisha Tanzania haturudii tena makosa ya nyuma ya kushirki kwenye Jumuiya iliyokufa mwaka 1977, ambapo ilipokufa sisi tuliumia sana kwa sababu tulikuwa tumejikita sana huko, infact mpaka leo kuna areas kama za Airline na Railways, bado tumeshindwa ku-recover, sitaki Tanzania tukimbizwe na Kenya walivunja Jumuiya ya kwanza kwenye One Currency na Political Federation, ninasema kwamba tujifunze kuwa EU sasa hivi iko matatizoni ni kwa sababu ya mbio mbio za kuanzisha jumuiya hiyo bila utafiti wa kutosha.

Kwa hayo machache ninaomba kuwaomba JF wote leo tujaribu kuombeana heri ili tupite kwa sababu kupita kwangu ni kupita kwa JF pia!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA PIA AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI1

William.
 
JF imekubeba hadi hapo ulipofikia, bado unataka tuendelee kukubeba kwa kukusalia, you are too demanding brother!!!

Mama yako ameitukana pipoz pawa juzi alipokuwa Kiwira kwenye uchaguzi wa diwani ambapo alidondokea pua, nahisi hata wewe utadondokea pua kwakuwa hatujui sifa zako za utendaji zaidi ya uwezo wako wa kutumia KEYBOARD kupost ***** ndani ya JF. Kama Baba yako alishindwa na Livingstone Lusinde, aliyejitangaza kuwa ni kichaa, sioni uwezekano wa wewe kupita mbeye ya Ole Millya na wengine...
 
- Mkuu nimekusikia, isipokuwa naomba ukaangalie tena kumbu kumbu zako kuhusu majina ya wagombea waliopo sasa maana huenda hauko current, Millya is my friend and I respect as a humanbeing na mkuu uwe na siku njema sana!

- Otherwise sidhani kama wewe unaandika hapa kutokana na siasa za baba na mama yako unless kuna something I am missing hapo kwenye hoja zako!

William.
 
Tunakutakia mafanikio mema, jiamini kujieleza naona hizo sera zako zina mashiko ukizisimamia na kujieleza vizuri. Tatizo na wasiwasi wangu ni kwa hicho chama chako CCM usijekushangaa tayari kuna watu washamwaga pesa na matusi wewe unakuwa huna chako.

Badilikeni jamani chama lenu linakufa hilo. Other wise kila la heri mkuu.
 
Wana JF, leo ninakwenda kusimama mbele ya Wabunge wote wa CCM kuomba kupitishwa kwenye kura zao za maoni ya kugombea Ubunge wa EAC, ninaamini niaenda pale nikiiwakilisha JF sasa ni muhimu sana leo tukaweka tofauti ya itikiadi zetu pembeni na kwua kitu kimoja katika kuombeana na kutakiana heri, kupita kwangu ni kupita kwa JF.

- Nimesema huko nyuma na ninasema tena mimi Mwanachama wa CCM, tena hai na wa muda mrefu sana toka mwaka 1982 nikiwa JKT Oljoro kwa mujibu wa sheria ya mwaka mmoja baada ya kusomeshwa bure na Serikali ya Awamu ya kwanza. Nia na madhumuni yangu siku zote ni mabadiliko ya mwenendo wa kisiasa kwa taifa letu, ili tuweze kusonga mbele kulingana na wakati, ninaamini kwamba wengine wakija na ideas kutoka upinzani na wengine tukija na the same ideas kutokea ndani ya CCM, siku moja tutalisaidia taifa letu kufikia pahali linapotakiwa kwa nyakati hizi za kisayansi.

- Kwa kifupi ninataka kwenda EAC, ili kulisimamia taifa langu kwenye masuala ya interest za kiuchumi na hasa Ardhi yetu nikiwa ninajua kwamba nchi zingine Nne za Jumuiya hazina sheria za serikali za kusimamia Ardhi zao kwa sababu hata hiyo Ardhi hawana tena yote ilishanunuliwa na wananchi wao, sisi tu ndio bado tuna Ardhi inayosimamiwa kisheria na serikali yetu. Pia ninataka kuhakikisha Tanzania haturudii tena makosa ya nyuma ya kushirki kwenye Jumuiya iliyokufa mwaka 1967, ambapo ilipokufa sisi tuliumia sana kwa sababu tulikuwa tumejikita sana huko, infact mpaka leo kuna areas kama za Airline na Railways, bado tumeshindwa ku-recover, sitaki Tanzania tukimbizwe na Kenya walivunja Jumuiya ya kwanza kwenye One Currency na Political Federation, ninasema kwamba tujifunze kuwa EU sasa hivi iko matatizoni ni kwa sababu ya mbio mbio za kuanzisha jumuiya hiyo bila utafiti wa kutosha.

Kwa hayo machache ninaomba kuwaomba JF wote leo tujaribu kuombeana heri ili tupite kwa sababu kupita kwangu ni kupita kwa JF pia!

MUNGU AIBARIKI TANZANIA NA PIA AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI1

William.

Mkuu hebu niweke vizuri kabla ya kufanya maombezi... jumuia iliyokufa 1967 unamaanisha ?
 
Haha, kazi ipo. Malecela wapelekee kule Facebook.

Ukiandika hivi. Baada ya dk 3. Utapata reply zaidi ya 30 kutoka kwa kina dada, mam na masharobaro wenzako wa masaki.

Humu wamejaa wabishi. Tunataka changes. Pipo hazitaki porojo. Wala rangi za kijani.

My take: CCM miaka yote mnakuwa wabunge East Africa. Wewe ndo utatuletea miujiza??
 
Kila heri Mkuu. Ukawakilishe vijana wenzio wa kitanzania vizuri, na uwasilishe fikra pevu zikijikita kwenye nguvu ya hoja
 
Kaka maombi utapata lakini nasikitika huko ulipo (ccm) utaharibikiwa hata kama una hoja nzuri kiasi gani? Kama utakuwa mbunge ea. Na ukapata umaarufu kwa kujenga na kutetea hoja bungeni. Magamba ya hapa home yatakupeleka kwenye kampein za chaguzi ndogo nawe utakuwa na matusi kama lusinde tu. Labda uniahidi hutabadilika!
 
mmmh wewe huwezi kuomba kwani,au unafikiri watu wanapiga kura jf nn?, ccm wanamungu tangu lini, ccm pesa tu jipange kaka na fedha nyingi sana ili ufanikiwe,hilo liko wazi
 
Back
Top Bottom