Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

Mulugo: Nilifaulu peke yangu kwenda secondary

mnyalutanana

Member
Joined
Nov 3, 2012
Posts
55
Reaction score
18
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?
 
Basi Mulugo anaingia kwenye vitabu vya historia kuwa kilaza aliyesoma na vilaza zaidi ya wote duniani kama alishinda pekee kwenda Sekondari. Ila kwa kumbukumbu zangu ni kwamba wakati ule watu walikuwa wakichaguliwa na si kushinda. Mnaweza kunikosoa kama nimekosea wanangu. Mulugo unamdanganya nani?
 
Kweli kabisa Father of All,

Enzi hizo, watu kibao walikuwa na alama ambazo siku hizi hazipatikani kirahisi (wanazipata watu wachache sana), lakini walikosa nafasi za kwenda sekondari kwa sababu hawakuchaguliwa.

Kuna mkoa mmoja ambao kuanzia kwenye mwaka 1980 hadi karibia na 1990 (kwa kadri ya kumbukumbu zangu), idadi ya watoto waliochaguliwa kwa kila wilaya haikuzidi 150 kwa mwaka. Alama ya chini za kuingia sekondari ilikuwa ni zaidi ya 76/150 (kwa masoma 3 ya Hisabati, lugha na maarifa, kila moja likiwa na alama 50).

Ngoja tuendelee kumsikiliza boss Mulugo ila muda si mrefu mambo yaliyofichika yatajifunua yenyewe!!
 
Last edited by a moderator:
Enzi hzo division three unaenda kusomeshwa ulaya.

Mkuu Kobello,

Hao wenye division 3 walionekana ni vipanga wa kutisha....

Mwaka 1993, Wizara ya Sayansi, Tech na Elimu ya juu ilipeleka timu ya vijana karibia 100 Urusi, na wengi wao walikuwa na division 4. Jamaa mmoja anaitwa Rajabu aliyekuwa anashughulikia hizo nafasi alikuwa anawafukuza watu wenye matokeo mazuri eti kwa sababu hao wana nafasi katika vyuo vya hapa nchini...Aliwafukuza eti waache kuwazibia nafasi wenzao ambao hasingeweza kupewa nafasi hapa Tz. Hata hivyo, nafasi walipewa watoto au ndugu wa wakubwa!

Ila nasikia hata Std 7 nao walikuwa wanapewa scholarship na wengine ni watu wakubwa sana hapa nchini....

Hii bongo yetu iache iitwe Bongo aisee!!
 
Last edited by a moderator:
Pure lies if this guy is the smartest of his batch it means his was a bunch of tabularasa so to speak. By then chuo ilikuwa ni free sasa anaposema alichelewa kujiunga na chuo ili kutafuta pesa anamdanganya nani? Wakati kwenda chuo ilikuwa ni fursa ya kunenepa kwa kula bure.
 
Duh bado anajitetea kama maji yamemfikia shingoni si aachie ngazi wengine wanaofaa kwa sifa nzuri na mbaya za kujificha wawekwe hapo.
 
Pure lies if this guy is the smartest of his batch it means his was a bunch of tabularasa so to speak. By then chuo ilikuwa ni free sasa anaposema alichelewa kujiunga na chuo ili kutafuta pesa anamdanganya nani? Wakati kwenda chuo ilikuwa ni fursa ya kunenepa kwa kula bure.

Kipindi anamaliza form 6 (kama kweli alimaliza), serikali ilikuwa inatoa mikopo katika awamu ya kwanza ya kuchangia gharam za elimu ya juu...

Kwa hiyo hawezi kutushawishi kwamba alikosa pesa za elimu ya juu ingawa elimu ilikuwa siyo bure 100% kama miaka ya nyuma hadi mwanzoni mwa 1990s ambapo hata kusafiri ilikuwa ni kwa travel warrant.

[h=2]MEMBER OF PARLIAMENT CV[/h][TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture
1645.jpg
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Philipo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Augustino[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Mulugo[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Constituency Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]Songwe[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]P.O. Box 9121, Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:[/TD]
[TD]+255 754 315 922/+255 784 315 922[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]pmulugo@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD]27 January 1972[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa Primary School, Chunga[/TD]
[TD="align: center"]Primary Education[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya Secondary School[/TD]
[TD="align: center"]O-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1990[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Songea Boys' High School[/TD]
[TD="align: center"]A-Level Education[/TD]
[TD="align: center"]1994[/TD]
[TD="align: center"]1996[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Open University of Tanzania[/TD]
[TD="align: center"]BA (Economics Education )[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]GRADUATE[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Mulugo or muongo go tell your ballyhoos to the birds. Again, even though birds have small brain they still unearth your blatant lies. Shame on you!
 
Mh. N/ Waziri wa elimu, mulugo amesema ktk kipindi cha medani za siasa na uchumi kinachorushwa na star Tv kuwa yeye alisomeshwa na padri na akafaulu pekee yake kwenda secondary.Pia amesema kuwa alichelewa kwenda chuo kikuu kwani alikuwa anatafta fedha kwa ajili ya kujisomesha. swali langu ni kwamba hivi serikali ilikuwa haitoi mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu enzi za akina mulugo?
Tungefahamu ilikuwa ni mwaka gani?kwani miaka ya nyumba elimu ilikuwa ni bure mpaka chuo kikuu.!!!
 
Hivi loya. Besdei bash na sie wapiga kura wake si tuna haki ya kuhudhuria eeh? Na kipengele kipi cha uchaguzi kinatulinda?
Duuu dunia ina vituko sana!
Mzee wa visiwa vya zimbabwe+Pemba leo amefunguka sana me na subiri birthday ya jimbo!
 
Back
Top Bottom