Kunani UVCCM Kahama

Kunani UVCCM Kahama

Jolebatawi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
549
Reaction score
230
Siku kama nne zilizopita magazeti yaliandika habari kuhusu hawa vijana wa UVCCM kahama kuandamana ili watumishi wababaishaji wa halmashauri ya wilaya kahama wang'oke,,hilo nililiona ni wazo zuri kwa sababu kuna watumishi wengi hapa wababaishaji bila kuwasahau hawa wawili afisa elimu sekondari na afisa utumishi yule anayemiliki tuition centre pale kahama ni mizigo kwa kweli,,wanatoa huduma chafu na ya matusi hata uwaulize kitu kwa ustarabu,,kwa ufisadi ndio usiongee.Sasa cha ajabu hawa vijana tangu watangaze maandamano bado kimya,,je wameshakanywa na kunywea?????
 
Wewe nae, huwajui CCM!?? tangu lini wakatekeleza ahadi!??, wale ni wa matamko tu, walipotangaza ndo walikuwa wameshaandamana tayari
 
Hivi inakuwa afisa mzima anakuwa anatoa matusi kwa watu wazima wezake? Nanyi munmwangalia tu? Hebu chukueni hatua kwa sababu mlishatafakari. Kahama oyeeeeeeee!!!!!!
 
siku kama nne zilizopita magazeti yaliandika habari kuhusu hawa vijana wa uvccm kahama kuandamana ili watumishi wababaishaji wa halmashauri ya wilaya kahama wang'oke,,hilo nililiona ni wazo zuri kwa sababu kuna watumishi wengi hapa wababaishaji bila kuwasahau hawa wawili afisa elimu sekondari na afisa utumishi yule anayemiliki tuition centre pale kahama ni mizigo kwa kweli,,wanatoa huduma chafu na ya matusi hata uwaulize kitu kwa ustarabu,,kwa ufisadi ndio usiongee.sasa cha ajabu hawa vijana tangu watangaze maandamano bado kimya,,je wameshakanywa na kunywea?????
wamekatazwa na polisi kwa sababu za kiusalama.hata hivyo kuna fununu kwamba hao jamaa ni wanachama hai wa ule mji/jiji la gamboshi.kwa hiyo nawashauri muwashughulikie kwa umakini mkubwa.
 
Wewe nae, huwajui CCM!?? tangu lini wakatekeleza ahadi!??, wale ni wa matamko tu, walipotangaza ndo walikuwa wameshaandamana tayari
Nimeamini mkuu,,coz kimya kingi kumbe ndiyo imetoka hiyo
 
Hivi inakuwa afisa mzima anakuwa anatoa matusi kwa watu wazima wezake? Nanyi munmwangalia tu? Hebu chukueni hatua kwa sababu mlishatafakari. Kahama oyeeeeeeee!!!!!!
Wachache huwa wakipanda juu nasi twapanda juu wakishaona hili jamaa si la kuburuzwa ndiyo wanaanza kushuka ila kiukweli wengi wanapelekeshwa sana na haya majamaa
 
Back
Top Bottom