EMANUEL OLE NAIKO kurithi Kiti cha ubunge MONDULI ? LOWASA AKIWA RAISI 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

EMANUEL OLE NAIKO kurithi Kiti cha ubunge MONDULI ? LOWASA AKIWA RAISI 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by R.B, Jul 5, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,168
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Tetesi zilizo zagaa ;

  Mr. Emmanuel Ole Naiko, the Executive Director of the Tanzania Investment Centre (TIC)

  NDO ANATEGEMEWA KUWA MRITHI WA MH. LOWASA

  dalili za wazi zimeanza kuonekana Monduli.

  Namtakia safari njema ya kupambana;

  lakini biashara
   

  Attached Files:

 2. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
 3. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mjini tunaandaana tu hamna jipya
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Yaani Lowassa hatagombea tena ubunge? Hali yake ya afya je?
   
 5. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,168
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  [h=1]Shelukindo: Nitamuunga mkono Lowassa 2015[/h]

  "Ni kweli mimi ni muumini wa Lowassa, ila pale (mkutanoni) sikumtaja kwa sababu najua chama kina taratibu zake na muda wa mchakato wa kumpata Rais haujafika."
   
Loading...