The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 19,010
- 19,019
Ndejembi: Shellukindo unamharibia Lowassa
MWANASIASAmkongwe nchini na Kada wa CCM, Pancras Ndejembi amejitosa kwenye mjadala wambio za urais mwaka 2015 kwa kuwaonya makada wa chama hicho wanaowaza sasakwenda Ikulu, akisema hii ni hatari kwao na kwa chama.
Ndejembi alienda mbali na kuwaponda wanaojitokeza na kudai wanawaunga mkonobaadhi ya watu kwenye uchaguzi huo akisema hii siyo sawa.Ndejembi ambaye amevumakatika medani za siasa ndani na nje ya nchi, alisema hayo juzi alipokuwaakizungumza katika mahojiano maalumu na gazeti hili nyumbani kwake Mtaa waUzunguni mkoani Dodoma.
Mimi sina shida na Lowassa, tena ni rafiki yangu na hata Kikwete sina shidanaye. Kama upungufu, vijana hawa wanao kama binadamu wengine, lakini nakataa,hivi ni kwa nini tuanze suala la urais sasa, alisema na kuongeza:
Jambo hilo ni hatari, tena hatari kubwa ndani ya chama. Tutakuwa vipande nahata hao wagombea watarajiwa wenyewe tunawaongezea maadui bure bila sababu.
Mkongwe huyo wa CCM alienda mbali zaidi na kumtaja Mbunge wa Kilindi, BeatriceShellukindo kwamba amekosea kujitokeza sasa kwamba atamuunga mkono Mbunge waMonduli, Edward Lowassa mwaka 2015....................................................
Source: Mwananchi
Top ofForm