Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uhuni unaoendelea kushuhudiwa katika kipindi hiki cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni dalili ya kuporomoka kwa maadili ya kisiasa na ukosefu wa utawala wa sheria ndani ya mfumo...
3 Reactions
16 Replies
951 Views
NDUGU MALISA GJ ELEWA KUWA SI UNIT YA UANAHARAKATI NI JELA AU KIFO. UKISEMA UNAOGOPA KIFO NA HUJUI HATMA YA WATOTO WAKO. NI KWAMBA HUJUI UNACHOKIFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nimeona...
4 Reactions
9 Replies
853 Views
Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
16 Reactions
75 Replies
5K Views
CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini! Kwa CCM viongozi wa kanisa...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Wakuu, Hivi mmemsikia huyu jaji Jacobs Mwambegele ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi? Hivi karibuni alisema jumla ya Wapiga Kura walioandikishwa kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 ni Milioni 37.6...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, ambaye pia ni Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Maswa Mashariki, ameanguka katika kura za maoni za...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa wananchi na wapenda haki wote. Polepole amekerwa na mchakato wa uteuzi wa rais na mgombea mwenza ndani ya chama chake tu. Lkn uporaji wa uchaguzi kama ule uliofanywa 2019, 2020 na 2024...
0 Reactions
7 Replies
566 Views
Polepole akijibu swali lililouiza 'Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa kughairi kugomea ubunge ilikuwa baada ya wewe kumfumbua macho'?, amejibu kuwa yeye hajaongea na waziri mkuu, wala Makamu wa Rais...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na...
5 Reactions
8 Replies
726 Views
Shabani Mrutu ameibuka kidedea katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo la Tabora Mjini baada ya kuzoa kura 6,612 na kuwaacha mbali wapinzani wake watano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Paul Makonda ameshinda kwa kupata kura zaidi ya elfu 9 ambayo ni sawa na 97% na kuwaacha mbali wenzake kwenye kura za maoni ya ccm kwenye jimbo la Arusha mjini. Wasiompenda msukuma mwana kolomije...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Hongera sana Mhe. Maboto kwa kuongoza kura za maoni ya CCM Bunda Mjini. Sasa haki itendeke. Tusije tukaona mtoto wa Wassira akiteuliwa kuja kugombea Jimbo la Bunda mjini. Nasisitiza tena. haki...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Korogwe Mjini, 4 Agosti 2025 Katika siku iliyojaa hamasa, matumaini, na shangwe, jina la Charles Mhando Njama limeandikwa upya kwenye historia ya siasa ya Korogwe Mjini. Wajumbe wa Chama Cha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajumbe siyo Watu kwa kweli japo JM safari yake iliisha mapema zaidi Sasa watakuwa kioo sahihi cha Mifumo Kazi nje ya box 📦 Kuna maisha baada ya Ubunge
3 Reactions
4 Replies
509 Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa UMMA(CHAUMMA)zamani CHADEMA Mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Madoga amechukua fomu hiyo Leo Agost 4,2025...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Hii dhambi ya kikatili inayofanywa na baadhi ya viongozi na jeshi la polisi kutetea wahuni ni moral decay ya hali ya juu. Mnataka ku-justify mateso, unyanyasaji na harassment ya raia huku...
0 Reactions
1 Replies
260 Views
Mpaka sasa idadi kubwa ya wabunge waliopitishwa na wajumbe CCM kuwa wabunge 2025-2030 ni walewale waliokuwa wanakubalika au waliopitishwa na Magufuli kuwa wabunge mwaka 2020, mabadiliko ni madogo...
1 Reactions
5 Replies
948 Views
Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza Katika Viwanja vya Michezo vya Jakaya Mrisho Kikwete, Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo...
0 Reactions
2 Replies
366 Views
Shangwe latawala mara baada ya Mbunge wa Buchosa aliyemaliza muda wake, Eric Shigongo, kuibuka mshindi katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwania muhula wa pili wa ubunge katika...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…