Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Sekenke uliopo wilaya ya Iramba mkoani Singida wamesisitiza msimamo wao wa kutoondoka kwenye eneo hilo kumpisha mwekezaji mwenye leseni wala...
Katika gazeti la Raia Mwema toleo namba 279, Jan23-29 2013 ukurasa wa wa 17 kuna makala yenye kichwa cha habari tajwa hapo juu iliyoandikwa na Ndugu Paul Dotto. Mwandishi alikuwa anaelezea...
Ndugu wanabodi,
Leo nataka kumkumbusha Mwigulu nNchemba kuwa mimi kama mzee wake nilimwonya kuhusu tabia yake ya kiherehere cha kutaka kuupata umaarufu mapema akinadhania kuwa yeye ataweza...
ccm inabidi ifutwe kwa sababu inaendeshwa kinyume na katiba yake haina kamati kuu kwa zaidi ya miezi 3,hivyo inakosa sifa kuwa chama cha siasa bali ni genge la wahuni,wezi wa mali za taifa na...
Habar wakuu!
Niseme wazi kuwa sipendi wasaliti ambao kazi yao ni kurudisha nyuma harakati za ukombozi ndani ya CHADEMA lakin katika swala la demokrasia ndani ya chama changu CHADEMA imekuwa ni...
HABARI WANABODI
naomba kusaidiwa jamani hii M4C ni kwa ajili ya mikoa mingine tu, vipi kuhusu dodoma? hasa jimbo la kongwa kwani hili ni jimbo jepesi san.a ila tunahitaji nguvu ya makamanda kama...
Kutokana na dhuluma nyingi inayofanywa na Viongozi kwa rasilimali za nchi yetu "Watanzania wameamua kuchukua sheria mkononi, sio jambo la kusifu lakini ni ujasiri wa kupongezwa" Freeman Mbowe...
Ndugu Wana JF,
Ni matumaini yangu nyote mu wazima wa afya. Kichwa cha Habari hapo juu ni maandishi makubwa meusi yaliyoandikwa kwenye kurasa ya mbele ya gazeti la mwananchi la leo tarehe...
Wadau wa katiba mpya, doctrine ya separation of power bado haijawa reaslised katika "satisfactory level" -(najua there can not be 100% separation), lakini bado tunaweza kukaribia na hapo. Kwa...
Inanishangaza sana kusikia eti jf ni mtandao wa CHADEMA!
CCM mnajisifu kuwa na wanachama wegi, inakuwaje huku mtandaoni wanakuwa wachache?
Kuna aliyejaribu kujiunga akaulizwa uanachama/kadi...
Ameanza kwa kusema kuwa yeye ni mwanafunzi wa PHD, ila
Chadema ilani yao ya 2010 walisema hivi......
Katika kupanua wigo na kuboresha elimu ya juu, Serikali ya CHADEMA itachukua hatua...
Baada ya Ghasia zilizotokea hapa Masasi siku kadhaa zilizopita wameletwa askari polisi toka maeneo mbalimbali nchini ambao kwa kweli ni wengi wanakera sana.
Wanapiga mabomu na hovyo hovyo tu na...
Licha ya kuzuiliwa na polisi CCM kufanya mkutano na mapokezi, mbunge wa Arusha mjini kufanya mkutano jioni hii kwenye uwanja wa Baruti.
Kwa sasa magari ya yanapita mitaani yakitangaza juu ya...
Kuna wenzetu wamepoteza maisha katika kudai haki za
wanakusini kwa ujumla.
Nguvu ileile itumike kukusanya michango kama kifuta jasho ili kuzisaidia familia zao. Tukianzia na yule
shujaa wa...
USIPO KUWA NA UHURU WA KUJIELZA NI SAWA NA MFUNGWA WA NJE
Alipo pewa nafasi ya kujieleza Mwalimu JK Hatimaye Tanzania ikiwa Huru
Ni muhimu kuwapa watu nafasi za kujieleza
Chadema imezidi kudhihirisha kuwa ni chama makini chenye sera mujarabu kwa maendeleo ya nchi yetu! Sasa yaazimia kujipanga kimajimbo kuchukua dola! Yaazimia kupeleka nguvu ya kujenga chama kwenye...
Kumekuwa na malumbano yasiyo na tija kati ya CCM na CHADEMA huko Muganza kiasi cha kuathiri kwa kiwango kikubwa mstakabali wa maendeleo ya wanamuganza. Ilikuwaje?.....Mwaka 2010 kabla ya uchaguzi...
Huku wananchi wa kawaida wanaoishi maeneo ya Moshono hadi kilipo chuo kikuu cha Nelson Mandela mkoani Arusha, wakitaabika kwa vumbi jingi na barabara mbovu, imekuwa ni kawaida kwa Uongozi wa Mkoa...
Nimefuatilia kwa kiwango kikubwa sakata la Gesi Mkoani Mtwara na nimejifunza kuwa bado watawala wetu wanaendeleza matumizi ya hoja mfu na upotoshaji wa hali ya juu. Nafananisha majibu haya na yale...