CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Wadau wa katiba mpya, doctrine ya separation of power bado haijawa reaslised katika "satisfactory level" -(najua there can not be 100% separation), lakini bado tunaweza kukaribia na hapo. Kwa mfano bado president ana encroach to a greater extent katika mihimili mingine ya dola. Mifano ni mingi- one important area Kwa nini Rais anaweza ku-veto sheria iliyokubaliwa na Bunge-wawakilishi wa watu, lakini mtu mmoja naikataa, Rais ku-disolve bunge, kuchagua majaji, mawazili kuwa wabunge, etc, etc, etc, etc .