DR. MWAKABANJE
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 1,986
- 3,151
Hiki kituo cha Television cha taifa kwa kweli hakitutendei haki watanzania, tunajitahidi sana wakati mwingine tuachane nacho lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya taarifa hasa matangazo ya moja kwa moja hasa bunge yanapatikani kwa hiki kituo tu kwa muda huo.
Ni jana tu CCM walikuwa wanasherehe za kuazimisha miaka 36 ya chama chao na kitaifa yalifanyika Kigoma, huko TBC nadhani walijipanga vyema kwani binafsi sikuona matangazo yakikatikakatika, lakini leo Bungeni ni matatizo tu, kila baada ya dak. 3 au 4 matangazo yanakata au kuscratch, najiuliza kama jana huko kigoma walijitahidi hawahawa TBC kurusha matangazo ya ccm bila matatizo yoyote kwa nini wanashindwa DODOMA? Kwangu mimi hawa watu wamejaa ukada zaidi walifanya vile jana kuwaridhisha mabosi wao na chama chao cha CCM, pili kama mkurugenzi mwenyewe ni wa ANALOGY anawezaje kumudu ushindani wa kidigital na mazingira mengine ya kisiasa Tanzania!
Tido Muhando, tunakukumbuka ,tutakukumbuka na tulikupenda lakini magamba haya yalikupenda zaidi,kwaheri Analogy (TBCCM).