Mpaka muda huu ninaleta uzi huu, hakuna kituo chochote cha Television kilichorusha maandamano/Mkutano mkubwa wa Wananchi na Viongozi wa CDM uliofanyika TMK mwisho. Channel 10 wamerusha habari za...
Katika taarifa ya habari ya usiku huu ITV wameonesha mgogoro wa wananchi wanaozunguka mgodi wa north mara unaomilikiwa na kampuni ya Barrick. Katika mgogoro huo wananchi wameshtukia na kukataa...
Awali ya yote nakupa pole kwa majukumu makubwa ya kuliongoza taifa hili, kwa katiba tulikuwa nayo natambua kuwa una majukumu, maamuzi makubwa sana tena mazito kwa taifa hili kwani kila kitu ni...
Dr. Slaa, tumekusikia ulipokuwa unazungumza na waandishi wa habari na maagizo yako wabunge wako wasishiriki kwenye vikao vya kamati ya maadili ya bunge! Vile vile ulieleza chama chako kwenda...
Kama gazeti la Uhuru la leo limenukuu sawasawa ripoti ya APRC (Africa Peer Review Commission) basi hiyo commission haina watu wenye brains.
Huwezi kusema CCM ni imara sana na itatawala muda...
Wana JF,
maandamano ya kesho siyo ya vyama vya upinzani bali ni ya Chadema peke yao kwani vyama vyote vya upinzani havina taarifa ya maandamano bali wamesikia magazetini tu na wala hakuna mwaliko...
UTANGULIZI
nianze kwa kusifu jitihada zenye msukumo wa utaifa na uzalendo alizo zifanya mh mbatia kwa kutafiti kuhusiana na suala adhimu la ELIMU HAPA NCHINI! ni ukweli uliyo dhahiri kuwa mbatia...
Human rights its something which every nation must practice strongly, Tanzania, despite of having a constitutional, human rights seems to remain as a normal words, innocent people are killed, some...
Serikali ya ccm, wabunge wa ccm, spika wa buge na naibu wake wamekubaliana mpango makhususi wa kuilinda serikali yaani kuficha uovu na ufisadi unaofanywa na serikali ili wananchi wasijue maovu na...
Nimeiskia kutoka taarifa ya habari TBC kutoka Mbozi eti kufaulu kuingia sekondari kwa wanafunzi wasiojua kusoma wala kuandika ni kutokana na kuwa na msongamano wa wanafunzi madarasani na kuwa na...
Wanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustine-Mwanza wamemtupia lawama mbunge wao mh. Wenje kwa kile kinachoelezwa kwamba amewatelekeza.
Ikumbukwe kwamba Mh Wenje wanafunzi wa SAUT ambao idadi yao...
Katika kikao kifupi kinachoendelea hapa Mwanza na baadhi viongozi wa chuo cha SAUT na ndugu Kisandu wa NCCR-mageuzi ni namna ya kuwasaidia wanachuo ambao hawajapata mikopo yao. mapendekezo yao ni...
Katika hali ya kushangaza Naibu Katibu Mkuu wa CUF Julius Mtatiro amesema CHADEMA kufanya maandamano na Mkutano Temeke Mwisho ni kuingilia ngome yao.
Akizungumzia mwaliko wa CHADEMA kuitaka CUF...
Hii mada nimeamua kuileta maksudi baada ya kuona refa wa bunge la Tanzania ndugu anna makinda na msaidizi wake job ndugai (majina mengine ya ajabu kweli kweli eti makinda/ndugai), kupokea...
Kuna taarifa kuwa CHADEMA inatarajia kufanya Maandamano Makubwa ya kuwapokea Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni siku ya J2 jijini na Dar es Salaam na kufanya Mkutano Mkubwa wa hadhara katika...
Hii mada nimeamua kuileta maksudi baada ya kuona refa wa bunge la Tanzania ndugu anna makinda na msaidizi wake job ndugai (majina mengine ya ajabu kweli kweli eti makinda/ndugai), kupokea...
Chama cha NCCR-mageuzi kimeahidi kumshauri mwenyekiti wa Taifa, James Mbatia, kufanya ziara nchi nzima ili kuwaeleza wananchi udhaifu uliopo katika mitaala ya elimu hapa nchini pamoja na mfumo...
Ni ndefu lakini ni muhimu
In 2006, an evaluation of Norwegian aid to Tanzania revealed that about US$30 million had been lost to corruption and mismanagement in the Ministry of Natural Resources...