MPANGO MKAKATI wa CCM na Serikali yake

MPANGO MKAKATI wa CCM na Serikali yake

nakuru

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
88
Reaction score
22
Serikali ya ccm, wabunge wa ccm, spika wa buge na naibu wake wamekubaliana mpango makhususi wa kuilinda serikali yaani kuficha uovu na ufisadi unaofanywa na serikali ili wananchi wasijue maovu na warudishe imani kwa serikali na ccm kwa ujumla ili wawezi kushinda uchaguzi wa 2015 kwani wameagalia namna zote za kushinda uchaguzi wameona hakuna namna .

Haya yanajidhiirisha wazi kwenye mkutano huu wa bunge ulioisha juzi ijumaaa; tukiangalia mambo kadhaa utagundua huu ndo mpango mkakati, baadhi ya mambo ni haya: maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu.....yalenge kuwatetea wananchi (mfano mzuri ni lile swali liloulizwa na mchemba mwigulu), hoja binafsi ziletwe na maccm na zitetea wananch hasa vijana (hoja ya kigwangala), kuondoa na kukataa hoja za wapinzani zenye maslahi kwa taifa (hoja ya mh.Mnatia, JJ Mnyika na J Nassary) ili wasionekane wanatetea wananchi na pia ili uozo na ufisadi wa serikali usionekane, sheria mbalimbali kufanyiwa marekebishwa ili zilinde serikali……hii ni mojawapo; baada ya mkaguzi mkuu wa serikali kuandaa taarifa ya ukaguzi hiyo taarifa isiende bungeni bali iende kwenye kamati za bunge na baadaye kamati zishauri serikali nini cha kufanya hivyo bunge halitakuwa tena na fursa ya kujadili taarifa ya mkaguzi mkuu wa serikali (hii sheria wabunge wa ccm wameishaipitisha), lingine ni spika wa bunge kuvunja kamati za bunge na kuunda kamati ambazo hazina meno ili serikali dhaifu iendelee na mauvo yake, lingine ni lile la kuwahukumu baadhi ya wabunge wa upinzani eti wana utumvu wa nidhamu bila la kuwasikiliza.....huu ni mpango wa kuwaogopesha na kuwadhoofisha wabunge wa upinzani!

Hizi ni baadhi tu ya hila na mbinu chafu ya maccm, serikali, spika na naibu wake, mbinu na mipango hii michafu haina faida kwa taifa wala wananchi wake bali ni mpango na mkakati wa kufanya ccm iweze kushinda uchaguzi wa 2015…….maskini ccm……..wanajua kupanga mipango lakini wakishapanga wanaipa ile mipango yao 100% ya mafanikio na hawajiulizi kutofanikiwa……..nawapa pole sana, hata mwezi anavyokwenda kuiba ana matumaini ya kufanikiwa lakini huwa pia ana plan B ikiwa atakamatwa sas maccm hawanga plan B…….na huu ni mpango wa Mungu kuwapumbaza…….hivyo hakuna siku watafikiria kushindwa!!

ccm kuna baadhi ya wabunge wanaojiita wapambanaji na watetezi wa wananchi lakini nawashangaa wakiwa bungeni wananyamaza kimya eti wakitoka nje ya bunge ndo wanaanza kubwabwaja! Sisi tumeshawagundua na nawaambia hawo si watetezi wa wananchi bali ni watetezi wa chama cha mafisadi kwani mtetezi na mzalendo wa kweli ni lazima atetee taifa kwanza halafu chama baadaye.

(Jana tarifa ya habari TBC saa 4 asubuhi nimemshangaa sana Mungu kwa namna ambavyo ameanza mapema mno kuumbua serikali na wabunge wa ccm; mkuu wa wilya ya mbozi kada wa cmm alisema watoto 28,000 wa wilaya hiyo walioko sekondari yaani for 2, 3 na 4 hawajui kusoma wala kuandika halafu akaongoze kuwa watoto 70% kwenye wilaya hiyo hiyo waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu nawo hawajui kusoma wala kuandika......huyu ni kada wa ccm ameweka wazi udhaifu na uchafu wa serikali, kama hoja ya mh. Mbatia ingekubaliawa na kufanyiwa kazi ingetoa majawabu na kuleta mfumo mzuri wa elimu kwa taifa hili......lakini kwa makusudi makubwa maccm wakaizima).

Hapa duniani kuna hukumu 2 ya kwanza ni watu/wananchi nay a 2 ni ya Mungu……sasa maccm mjiandae kupokea hukumu zote mbili maana ziko jirani!

Ninafuraha sana kwani kila mtego na mbinu chafu za adui (ccm) tunazigundua mapema kwa msaada wa Mungu kamwe maccm hamtafanikiwa na siku inakuja mtalia na kuhuzunika kama sisi tunavyolia sasa, ee Mwenyenzi Mungu ulitoa utajiri wa kutosha kwa taifa hili kwa ajili ya watu wote wa nchi hii tusaidie tushinde vita hii.
 
wewe hujui kitu kweli>< ni kuhakikisha cdm inakufa kupitia kwa wanachama wake kwa gharama yoyote ile
 
Waacheni watapetape mwisho wao umeshafika na hawatauzuia wakati kutimia
 
Serikali ya ccm, wabunge wa ccm, spika wa buge na naibu wake wamekubaliana mpango makhususi wa kuilinda serikali yaani kuficha uovu na ufisadi unaofanywa na serikali ili wananchi wasijue maovu na warudishe imani kwa serikali na ccm kwa ujumla ili wawezi kushinda uchaguzi wa 2015 kwani wameagalia namna zote za kushinda uchaguzi wameona hakuna namna .

Haya yanajidhiirisha wazi kwenye mkutano huu wa bunge ulioisha juzi ijumaaa; tukiangalia mambo kadhaa utagundua huu ndo mpango mkakati, baadhi ya mambo ni haya: maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu.....yalenge kuwatetea wananchi (mfano mzuri ni lile swali liloulizwa na mchemba mwigulu), hoja binafsi ziletwe na maccm na zitetea wananch hasa vijana (hoja ya kigwangala), kuondoa na kukataa hoja za wapinzani zenye maslahi kwa taifa (hoja ya mh.Mnatia, JJ Mnyika na J Nassary) ili wasionekane wanatetea wananchi na pia ili uozo na ufisadi wa serikali usionekane, sheria mbalimbali kufanyiwa marekebishwa ili zilinde serikali&#8230;&#8230;hii ni mojawapo; baada ya mkaguzi mkuu wa serikali kuandaa taarifa ya ukaguzi hiyo taarifa isiende bungeni bali iende kwenye kamati za bunge na baadaye kamati zishauri serikali nini cha kufanya hivyo bunge halitakuwa tena na fursa ya kujadili taarifa ya mkaguzi mkuu wa serikali (hii sheria wabunge wa ccm wameishaipitisha), lingine ni spika wa bunge kuvunja kamati za bunge na kuunda kamati ambazo hazina meno ili serikali dhaifu iendelee na mauvo yake, lingine ni lile la kuwahukumu baadhi ya wabunge wa upinzani eti wana utumvu wa nidhamu bila la kuwasikiliza.....huu ni mpango wa kuwaogopesha na kuwadhoofisha wabunge wa upinzani!

Hizi ni baadhi tu ya hila na mbinu chafu ya maccm, serikali, spika na naibu wake, mbinu na mipango hii michafu haina faida kwa taifa wala wananchi wake bali ni mpango na mkakati wa kufanya ccm iweze kushinda uchaguzi wa 2015&#8230;&#8230;.maskini ccm&#8230;&#8230;..wanajua kupanga mipango lakini wakishapanga wanaipa ile mipango yao 100% ya mafanikio na hawajiulizi kutofanikiwa&#8230;&#8230;..nawapa pole sana, hata mwezi anavyokwenda kuiba ana matumaini ya kufanikiwa lakini huwa pia ana plan B ikiwa atakamatwa sas maccm hawanga plan B&#8230;&#8230;.na huu ni mpango wa Mungu kuwapumbaza&#8230;&#8230;.hivyo hakuna siku watafikiria kushindwa!!

ccm kuna baadhi ya wabunge wanaojiita wapambanaji na watetezi wa wananchi lakini nawashangaa wakiwa bungeni wananyamaza kimya eti wakitoka nje ya bunge ndo wanaanza kubwabwaja! Sisi tumeshawagundua na nawaambia hawo si watetezi wa wananchi bali ni watetezi wa chama cha mafisadi kwani mtetezi na mzalendo wa kweli ni lazima atetee taifa kwanza halafu chama baadaye.

(Jana tarifa ya habari TBC saa 4 asubuhi nimemshangaa sana Mungu kwa namna ambavyo ameanza mapema mno kuumbua serikali na wabunge wa ccm; mkuu wa wilya ya mbozi kada wa cmm alisema watoto 28,000 wa wilaya hiyo walioko sekondari yaani for 2, 3 na 4 hawajui kusoma wala kuandika halafu akaongoze kuwa watoto 70% kwenye wilaya hiyo hiyo waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu nawo hawajui kusoma wala kuandika......huyu ni kada wa ccm ameweka wazi udhaifu na uchafu wa serikali, kama hoja ya mh. Mbatia ingekubaliawa na kufanyiwa kazi ingetoa majawabu na kuleta mfumo mzuri wa elimu kwa taifa hili......lakini kwa makusudi makubwa maccm wakaizima).

Hapa duniani kuna hukumu 2 ya kwanza ni watu/wananchi nay a 2 ni ya Mungu&#8230;&#8230;sasa maccm mjiandae kupokea hukumu zote mbili maana ziko jirani!

Ninafuraha sana kwani kila mtego na mbinu chafu za adui (ccm) tunazigundua mapema kwa msaada wa Mungu kamwe maccm hamtafanikiwa na siku inakuja mtalia na kuhuzunika kama sisi tunavyolia sasa, ee Mwenyenzi Mungu ulitoa utajiri wa kutosha kwa taifa hili kwa ajili ya watu wote wa nchi hii tusaidie tushinde vita hii.
na tv ya wananchi pia wameamua kuwasaliti wananchi kwa kushirikiana na ccm kuficha maovu
 
Back
Top Bottom