The ICC and its best candidates from Tanzania...

The ICC and its best candidates from Tanzania...

luckman

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Posts
1,211
Reaction score
373
Human rights its something which every nation must practice strongly, Tanzania, despite of having a constitutional, human rights seems to remain as a normal words, innocent people are killed, some are sentenced life to prison, some are wounded innocently and no body, no national agency seems to be against with what we are experiencing on the ground.

Come what may--i am sure the following are highly needed to sent to ICC

1.Benjamin William Mkapa-Bulyankulu + Zanzibar+......................
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Omary Mahita
4.Suleiman Kova
5.Said Mwema
6.John Tendwa
7.Anna Makinda
8.Job Ndugai
9.Edward Lowasa
10.Abdalhaman Kinana (darwin in the nightmare main man)
11.Joseph Mungai

wapo wengi lakin hawa lazima wapande. wameathiri nchi kwa kiasi kikubwa na cha kutisha.
 
safi kabisa,Ila naona hata Emmanuel Nchimbi anafaa kuwemo kwenye Orodha bila kumsahau RPC Kamuhanda.
 
Could you correct your thread please?
Human rights its something which every nation must practice strongly, Tanzania, despite of having a constitutional, human rights seems to remain as a normal words, innocent people are killed, some are sentenced life to prison, some are wounded innocently and no body, no national agency seems to be against with what we are experiencing on the ground.

Come what may--i am sure the following are highly needed to sent to ICC

1.Benjamin William Mkapa-Bulyankulu + Zanzibar+......................
2.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Omary Mahita
4.Suleiman Kova
5.Said Mwema
6.John Tendwa
7.Anna Makinda
8.Job Ndugai
9.Edward Lowasa
10.Abdalhaman Kinana (darwin in the nightmare main man)
11.Joseph Mungai

wapo wengi lakin hawa lazima wapande. wameathiri nchi kwa kiasi kikubwa na cha kutisha.
 
Mbowe na Slaa pia wanatakiwa the Hague kwa kuchochea vurugu maeneo mbali mbali na hata kukataa amri halali zinazo wataka waache ukuku wao
 
Kwanza ningeshauri uandike kwa Kiswahili tu, ungeeleweka zaidi na zaidi alafu kaswali kadogo, Lowasa kosa ni lipi yeye? Simtetei ila nashindwa ku-link sijui!
 
Mbowe na Slaa pia wanatakiwa the Hague kwa kuchochea vurugu maeneo mbali mbali na hata kukataa amri halali zinazo wataka waache ukuku wao
Slaa na mbowe tutawashughulikia hapa hapa bongo usiwe na haraka nao.
 
Kwanza ningeshauri uandike kwa Kiswahili tu, ungeeleweka zaidi na zaidi alafu kaswali kadogo, Lowasa kosa ni lipi yeye? Simtetei ila nashindwa ku-link sijui!

Mzigo unaobebwa na watanzania kkupitia nishati ya umeme ni mkubwa sana, umeme umekuwa ghali sana kwa hila na mbinu chafu zilizoongozwa na mh Lowasa, ameinajisi nchi kwa kiasi kikubwa sana, umeme ni kila kitu kuanzia kwa mwananchi wa kawaida hadi viwanda, sasa unit moja unainunua shs ngapi>? ni haki?? anawezaje kuchomoka kwenye hili sakata hali ushahidi upo wa kutosha?? zile mil 152/day zilikuwa zinaenda wapi? ripoti ya Mwakyembe unadhani kwa nini 6 aliamua kuitia kapuni? Rostam+Lowasa+Kikwete wana majibu ya huu msalaba unaobebwa na wananchi masikini. Ipo siku Mungu atafunua maovu yote yaliyo chini ya huu uovu.
 
Joseph Mbatia -Mtwara
Yule Mbunge Wa Mtwara
Lema - Arusha
 
Joseph Mbatia -Mtwara
Yule Mbunge Wa Mtwara
Lema - Arusha

we are watching and reading different things and stories, have u already tried to compare our country in political acrobatics with the rest of the countries worldwide?do u know why this s happening?do u know the impact and symptoms of these damn and cheap politics???? think tank.

inasikitisha sana kuona babu zetu waliuawa kwa sababu ya nchi, wapo waiokufa kwenye mapambano, wapo waliopoteza viungo vyao kwa ajili ya nchi, leo watu wanakuja wanakaa mezani na kugawana nchi???hatima yetu ni ipi, hatima ya watoto wetu na wajukuu wetu ni ipi???hapana, sisi kama vijana tuna nafasi yetu ya kufanya katka hili.
 
Sijaona tuhuma zaidi ya kueleza kwamba wapelekwe Mhakama ya Kimataifa. Kwa makosa gani na kama ni makosa ya jinai wapeleke Police kwa maelezo mazuri na tuhuma wapelekwe mahakamani.
 
Back
Top Bottom