Heshima haidaiwi

Heshima haidaiwi

kabiriga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
1,163
Reaction score
1,214
Kuna watu wanadai kuheshimiwa na watu wengine wakati wanajua waliyoyafanya ndio yatajenga na kuwafanya watu wawaheshimu. hakuna jipya na la maana tukuheshimu kwa lipi?.Wanasiasa wengi wanataka kuheshimiwa wakati hawajafika kiwango hicho mfano kunawziri mmoja alipoulizwa unaonaje ukajiuzulu akasema hamuwezi kupata waziri kama mimi,mwingine anataka kukumbukwa kwa yale aliyoyafanya! wewe fanya kwa kiwango chako wa kukumbuka wanajua wakukumbuke kwa lipi.

“I've learned that people will forget what you said, people will forget what you did, but people will never forget how you made them feel.”― Maya Angelou
 
Back
Top Bottom