Mzee wa ngano
Senior Member
- May 3, 2012
- 184
- 55
Hivi kwanini tangu bunge lianze kipindi cha bunge TBC kinakatikakatika sana? Ni hujuma au mtambo wa kuwezesha matangazo kuonekana TBC umechoka? au dijitali uko majaribioni? Waelewa tujuzeni.

kijakazi umeishiwa fikra yaani wasionyeshe bunge kweli wewe ni mburula
sasa wewe kazi unafanya saa ngapi kama unalalamikia kutoonekana kwa Bunge? Kwanza nawasilionyeshe kabisa, ikiwezekana walirekodi na kulionyesha jumamosi na jumapili!
Hivi kwanini tangu bunge lianze kipindi cha bunge TBC kinakatikakatika sana? Ni hujuma au mtambo wa kuwezesha matangazo kuonekana TBC umechoka? au dijitali uko majaribioni? Waelewa tujuzeni.
mtambo upo kigoma kwenye maadhimisho ya Ma CCM