ccm huwa inashinda kweli?

ccm huwa inashinda kweli?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
9,571
Reaction score
35,485
uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 ulikuwa CCM V/S NCCR ,majimbo yote ya DSM Yalichukuliwa na NCCR Kasoro jimbo moja tu silikumbuki.CCM walikataa matokeo ya ya mkoa wa DSM wakisema kuwa uchaguzi haukua huru na wa haki.uchaguzi ulirudiwa DSM wiki 2 baadae. CCM zanzibar walikataa hivyohivyo kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki.miaka 15 baadae nini kimewafanya wakazi wa DSM KUBADILIKA NA KUIPA USHINDI WA KISHINDO CCM? na nini pia kwa ZNZ zingatia kadri miaka inavyoenda mbele watu ndivyo wanaelimika na kuvikubali vyama vya upinzani hasa vijana.tujadili.
 
Back
Top Bottom