Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Kamnunua nani?
Nakumbuka Magamba walishawahi kusitisha kuwapata wanachama wapya kwa njia za kuwapa kadi za papo kwa hapo kama hawajapitia mafunzo kwanza. Leo hii imekuwaje? Au mafunzo yenyewe walikuwa wanamaanisha ni ya kujua jinsi ya kutoa na kupokea rushwa kama afanyavyo huyo Msomali hapo juu?