Mabaraza ya Maendeleo ya kata Kutuchagulia Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba, ni Haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabaraza ya Maendeleo ya kata Kutuchagulia Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba, ni Haki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Communist, Feb 4, 2013.

 1. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2013
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  6.2.8, Afisa Mtendaji wa Kata baada ya kupokea majina yaliyopendekezwa kutoka kwenye Mikutano Mikuu Maalum ya Mitaa ya Kata husika, ataitisha Kikao Maalum cha Kamati ya Maendeleo ya Kata, ambacho kwa kuzingatia sifa zilizoainishwa kwenye aya za 4.0 na 5.0 kitachagua majina manane kwa kura ya siri kwa utaratibu ufuatao.

  https://groups.google.com/forum/?fromgroups=#!topic/mabadilikotanzania/-Dcj0ANirt8

  Naona kama wajumbe waliochaguliwa na wananchi kutoka serikali za mitaa, ndio wangepiga kura katika ngazi ya kata kuliko haya mabaraza ya maendeleo ya kata, ambayo mpaka sasa yamekaa kiitikadi zaidi. Kwa upande wa mtaa wamefanya vizuri, hivyo wananchi kazi kwenu.

  Nawaomba mfatilie hiyo link hapo juu kupata mwongozo mzima wa kupata mabaraza.
   

  Attached Files:

 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2013
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mmmm hapa naona kuna hatari ya kupata watu wa itikadi moja tu, yaani chama tawala, kwa sababu mabaraza mengi ya kata ni ya kwao.
   
 3. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2013
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Jamani someni hiyo pdf muone
   
 4. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2013
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kikao Maalum cha Kamati ya Maendeleo ya Kata, ambacho kwa kuzingatia sifa zilizoainishwa kwenye aya za 4.0 na 5.0 kitachagua majina manane.

  Hii imekaa sio.
   
 5. n

  nyabhera JF-Expert Member

  #5
  Feb 5, 2013
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  haha hii ni trick ya CCM kutawala Katiba.
  Ona wajumbe wa Kamati ya maendeleo ya kata.
  1 diwani.
  2 Mtendaji wa kata.
  3 wenyeviti wa Mitaa/vijiji au vitongoji kwenye miji midogo.
  4. wakuu wa idara za serikali katika kata. mf.i.. Mwl mkuu msingi
  ii... mwl Mkuu sekondari.
  ii bwana shamba
  iii mwana afya.
  v Mganga.
  kwa ufupi hapo kunazaidi ya wajembe ambao ni wanasiasa na wataalamu walioko katika kata.

  ukizingatia kata mingi zinatawaliwa na CCM basi unaweza kujua katiba itakuaje.

  my take Rais anaweza hata kupewa mamlaka ya kubaka.
   
Loading...