Je vijana mmejiandikisha?

Je vijana mmejiandikisha?

Inyogote

Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Nimefikia kuhuliza hivyo kwasababu vijana wengi tunasifika kwa kupiga maneno vitendo hafifu inapofikia siku ya kupiga kura wakinamama ndo wanakuwa wengi je hiyo cdm itapita? pia hao wabunge wa cdm wasije kulewa sifa wa kawa kama MREMA alivyo kuwa anadanganywa na vijana ambao walikuwa awajajiandikisha.Kazi kwenu wapenda siasa mm anaye muoa mama ndiye baba.
 
Back
Top Bottom