Habari kutoka miongoni mwa wanachama wa chadema jimbo la Morogoro Mjini zinasema kuwa kamati tendaji ya wilaya imemaliza kikao chake cha dharura muda na kuazimia majina ya viongozi wakiwemo...
Naamini mtakubaliana nami kuwa kila penye upinzani kuna maendeleo yawe ni ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitamaduni. Ukifuatilia hili ninalosema pengine hapa kwetu tanzania au nchi za wenzetu...
Ndungu zang wana JF haki na usawa ni misingi ya utawala bora kwa nchi yeyote inayofuata utawala wa Demokrasia ya kweli. Nchi yeyote isiyofuata misingi hiyo mwisho wake huwa ni mbaya sana na mifano...
Ndugu wana JF Great thinkers,
Natamani sana kuiona Tanzania ikipata ukombozi wa pili wa kiuchumi,Ni aibu kuwa na Tanzania maskini kiasi hiki pamoja na ukweli kuwa imejaliwa kuwa na raslimali...
Kunatetesi na ushaidi wa kimazingira kuwa mbunge wa kigamboni amezuiwa na chama kufanya mkutano katika jimbo lake baada ya kuonekana yupo upende wa wananchi katika kuhakikisha hakuna utapeli...
TATIZO la upungufu wa chakula limeyakumba maeneo mengi nchini na sasa kuna baadhi ya maeneo wananchi wameanza kula mizizi.
Uchunguzi uliofanywa na Mwananchi unaonyesha kuwa baadhi ya maeneo...
Tulimfukuza mkoloni kwa kuwa hakuonesha nia ya dhati ya kuyathamani maisha yetu waafrika,so tulikula yamini na kutumia kila aina ya njia mwishowe tukafanikiwa kumwondoa katika ardhi yetu.
Cha...
waziri wa elimu shukuru Kawambwa amewasilisha mtaala halisi wa elimu wa mwaka 2005 hapa nchini ambao umegawanyika katika sehemu tatu.
1.mtaala wa elimu ya chekechea
2.mtaala wa elimu ya msingi...
Unaweza kumfuatilia sasa. Anasema bunge linaongozwa na kanuni zilizorekebishwa mara ya mwisho 2007! Anasema tujiulize mbona 2000 to 2005 Spika alikuwa mwenyekiti, 2005 to 2010 akawa naibu spika...
Bado CCM ina uwezo wa kuendelea kuiongoza nchi mya watanzania katika uchaguzi mkuu wa 2015, hii inatokana na vyama vya upinzani kutoonyesha nini mwelekeo wao kujenga nchi, zaidi ya wakati mwingi...
Leo katika bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania waziri wa mambo ya ndani ya nchi Vuai Nahodha ametoa taarifa za operesheni ya askari wa Afrika Mashariki kufanya mazoezi kwa pamoja.
Hii...
Nasema hivyo kwa sababu katibu mkuu wa CHADEMA ameagiza kama spika hatashulikia rufaa za wabunge wake basi wabunge wake hawataheshimu adhabu yoyote itakayo tolewa na kamati ya Bunge uongozi. Na...
Note: Phillipe Wamba alifariki Septemba 11, 2002, Kenya. (Imetoka hapa)
Philippe Wamba
" This book is about my own journey along the fault lines of African - African American relations and...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Waziri Mkuu mstaafu,Mzee David Cleopa Msuya aliyelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili jana jioni
(picha Rashid Ngurungu-Ikulu)
Jana wakati umehitisha kikao na waandishi wa habari, tamko lako la kwanza ulilolitoa ni "KULAANI" vurugu zilizotokea bungeni juzi. Bahada ya kuongea sana bila kuwataja hao unaowalaani, ukamalizia...
Siku ya Ijumaa manajement ya TTCL ilivunjwa yote na kuwekwa nyingine...
Waliondolewa kabisa ni CEO Ndugu Said Said kwani alikuwa ameshafikisha umri wa kustaafu lakini walikuwa wanajiongezea...
Nimejaribu kadiri ilivyowekezana kufanya utafiti wa mtandao wa kutosha kujaribu kutazama kama kuna uwezekano wa kupata majibu au ushahidi wa vitu 2 muhimu katika n'gwe hii ya muungano.Vitu au...
5/Feb/2013 Naibu katibu Mkuu ccm Mwigulu amehutubia wananchi wa mjini Bukoba na kushambulia upinzani.Kwamba mwisho wa Dk Slaa ni 2015 wale wanaomuona akiapishwa Ikulu wanavuta ban...kuwa safari...
Hon: Kingwangala,
I am cordially writing to thank you for your prompt and candid response in regards to my invite for a serious debate. First and foremost, allow me to set the record straight...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.