Juzi yalitolewa matangazo kuwa kutakuwepo na mkutano wa CHADEMA katika viwanja vya barafu Dodoma leo alhamisi kuanzia saa saba utakaohutubiwa na kina LISU,LEMA,MNYIKA,NYERERE,MSIGWA na wengineo.Nilitumia fursa hiyo kuwajulisha wana jf juu ya hilo.
Nilitegemea kuwapo kwa ajili ya UPDATES but unfortunately nimepata safari ya ghafla kuelekea Dar kwa kazi za kiofisi!naomba atakayekuwapo uwanjani atujuze kitakachojiri!
NATANGULIZA SAMAHANI KWA WANA JF!ASANTENI!