Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika haya mawili. Moja ni sahihi. 1. CCM haina au haitumii washauri wenye akili imeamua kuongozwa na wasio au wenye akili ndogo. 2. CCM imegundua watanzania wengi hawana either au hawatumii akili
8 Reactions
7 Replies
710 Views
Anaandika Afande sele ,✍. Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳 Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Baada ya mafanikio makubwa kwenye Harambee ya CCM pale Mlimani City jana ni wazi Mjumbe wa Tume ya Warioba ndugu Polepole alilala na viatu jana. Tutegemee Press ya ghafla Ahsanteni sana 😄✔️
3 Reactions
23 Replies
925 Views
Fikiria tu Harambee ya jana hadi Yanga wamo Achilia mbali Wawekezaji wa awamu yake ambao ndio wameibuka videdea kwenye changisho JK ana uwezo wa kufunga magoli ya dakika za majeruhi kama Yule...
5 Reactions
8 Replies
549 Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Juma Mluya, akiambatana na Mgombea wake mwenza Sadoun Abrahman Khatib, leo Agosti 13, 2025...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
MFANYABIASHARA MAARUFU MOHAMMED DEWJI APATIKANA AKIWA HAI Amepatikana akiwa ametelekezwa kwenye viwanja vya Gymkhana Baada ya kutekwa, Gari la watekaji liliendeshwa kwa kasi sana na kwenda...
46 Reactions
2K Replies
252K Views
HAPA NDIPO TULIPOFIKA KWA SASA Simply put, the bourgeoisie is the oppressive class, which Karl Marx argued would be destroyed in the workers' revolution. Specifically, the bourgeoisie was the...
6 Reactions
12 Replies
658 Views
Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake. Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa...
2 Reactions
10 Replies
501 Views
Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika...
0 Reactions
0 Replies
228 Views
Ukicheki CCM inavyoendesha hii nchi asilimia zaidi ya 90% ni mfumo wa kijamaa hasa ikijiegemeza sana na kukopi CCP ya China. Mara nyingi CCM imekuwa ikiwapiga change la macho mabepari kwa...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu, CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya watanzania,ndio chama chenye uchungu na Maisha ya watanzania,ndio daktari wa matatizo...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Common sense dictates that. Kama unawahofia mashahidi usalama wao, utamtoaje Judge au hakimu anayeendesha na kutoa uamuzi wa KUUA/KUNYONGWA asidhuliwe? Nidhahiri lengo ni mashaidi wa uongo ndio...
2 Reactions
6 Replies
547 Views
Wakili Msomi Maduhu William Mchambuzi wa masuala ya Siasa akizungumza katika kipindi cha Sentro Clouds TV ameeleza kuhusiana na Vyama pinzani kushindana na Chama cha Mapinduzi CCM inahitaji...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
CCM ndiyo chama chenye Serikali. Uovu wote unaofanyika dhidi wananchi, kama vile utekaji na mauaji ya wakosoaji wa Serikali na Rais, uporwaji wa rasilimali za Tanganyika, vyote hivyo vimeridhiwa...
18 Reactions
33 Replies
1K Views
Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni. Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni. Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu...
1 Reactions
5 Replies
321 Views
Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala...
2 Reactions
14 Replies
566 Views
Ikitokea mchakato wa uchukuaji fomu za kuwania urais ukarudiwa upya na ndugu Humphrey Polepole akahama chama na kuchukua fomu ya kuwania urais akichuanana mama Samia, kura yako ya urais ungempa...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali na kupanga kituo cha kazi Balozi. Kwa mujibu wa taarifa...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU. Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani...
1 Reactions
5 Replies
382 Views
Umewahi kujiuliza au kutafakari ikiwa leo hii Nyerere angukuwa hai kushuhudia kinachoendelea nchini Tanzania au ndani ya CCM angesema au kufanya nini? Okay, najua utasema Nyerere angekuwapo...
14 Reactions
53 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…