Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 48,068
- 39,010
Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa Mungu mwenyewe.
CCM includes all that can be together, and fairly and squarely holding everything on behalf of good people of the beautiful republic of Tanzania.
Harambee kuhusisha kila mtanzania popote alipo sio jambo dogo au la kawaida. Na hapo ndipo kila mdau anashuhudia uzalendo na umoja wa waTanzania katika kuitetea CCM na kuitetea serikali sikivu ya CCM.
Kidumu Chama Cha mapinduzi.🐒
Mungu Ibariki Tanzania.