ericmarimbo
Member
- Sep 30, 2011
- 91
- 37
Kwakuwa wananchi wengi hasa wa vijijini hawajui maana ya kauli mbiu inayotumiwa na CHADEMA Movement for change (M4C) napendekeza makamanda sasa waanze kutumie hii kauli ya hamia digitali kwa maana imezoeleka na watu wengi na ndio iko hot.