Selikari za mtaa na kukuza chama cha mapinduzi

Selikari za mtaa na kukuza chama cha mapinduzi

CHIKACHAO

Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
10
Reaction score
0
Jamani watanzania kuna kitu ambacho kinafanyika,naomba kujua kama kisheria iko sawa kwa hili,mana unapoenda serikari za mtaa kwa ajili ya barua yoyote ya utabulisho au kwa ajili ya ishu yoyote ni lazima uambiwe uende kwa mjumbe ukachukue barua ya utambulisho ambayo yenyewe inakuwa na muhuli wa ccm,na kikawaida sisi ambao hatuipendi ccm,inakuwa ngumu kupata huduma serikari za mtaa bila kwenda na barua ya mjumbe yenye muhuli wa ccm,hii imekaaje jamani?
 
Back
Top Bottom