EDWARD NGOYAI LOWASSA atatoa maamuzi mazito kati ya tar 18/02/2013

paul milya

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
285
93
Habari ya jioni wadau wenzangu! Nimekuwa sionekani jukwaani kutokana mihangaiko ya hapa na pale! Hakika bandiko hilo hapo juu ni habari niliyopata toka kwa raia wa karibu kabisa na raia wa karibu kabisa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa ya kwamba Mh huyu atafanya (atatoa) maamuzi magumu kabisa yaliyo nafsini mwake baada ya kufanyika kwa mazishi ya aliyekuwa Askofu Thomas Laizer wa Kanisa la KKKT aliyefikwa na mauti tar 7/02/2013 na mazishi ni kesho kutwa hapo Kanisa la KKKT mjini kati na bila shaka atakuwepo hapo akijumuika na ndg,jamaa na hata marafiki!

Na baada ya hapo na mpaka tarehe tajwa nyepesi hizo zinasema atatoa maamuzi hayo kama nilivyokwisha kusema! Itakuwa ni maamuzi yake ya kwamba asimame wapi ama abaki wapi! Nikaona ngoja nisifikie kusikia na kubaki nayo ila nami niwadodose wanajamvi kwani Mi binafsi naikubali jamiiforums ya kwamba ni kitovu tosha kwa habari hapa Nchini! Hapapitwi na chochote na hili nalikubali!

COPY

Sokoine
Mungi
Ndallo
Dark City
 
Habari ya jioni wadau wenzangu! Nimekuwa sionekani jukwaani kutokana mihangaiko ya hapa na pale! Hakika bandiko hilo hapo juu ni habari niliyopata toka kwa raia wa karibu kabisa na raia wa karibu kabisa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa ya kwamba Mh huyu atafanya (atatoa) maamuzi magumu kabisa yaliyo nafsini mwake baada ya kufanyika kwa mazishi ya aliyekuwa Askofu Thomas Laizer wa Kanisa la KKKT aliyefikwa na mauti tar 7/02/2012 na mazishi ni kesho kutwa hapo Kanisa la KKKT mjini kati na bila shaka atakuwepo hapo akijumuika na ndg,jamaa na hata marafiki!

Habari imetoka leo wakati tarehe ni ya mwaka jana!!! Au kuna makosa kwenye heading???
 
Mshaurini atulie...muda muafaka ukifika ndo amwage radhi maana Jamaa yake ambaye hawakukutana barabarani siku hizi anacheza nyimbo za diamond 'NATAKA KULEWA" tena kwa madaha Jerry akimuonyesha style mpya ya kuchezesha mabega Wakati huo huo TOM/Nape anapiga kinanda cha Shost Shonza....Magamba bana, JOB TRUE TRUE...
 
Rekebisha mwaka mkuu Milya. Ila ilishasemwa tena last year baada ya Milya kuhamia Chadema na hakuna kilichotokea? Tulitaka iwe breaking news kama ya Pope!!!!!Haitakuwa breaking news tena!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hakuna maamuzi magumu yoyote, sana sana anaweza kujitolea kujenga kanisa mahala alikozaliwa huyo Marehemu, yeye mwenyewe bila kuchangisha waamini wengine.
 
tajiri mmoja alikusanya mazao yake na mifugo akasema ee nafsi yangu kula na ufurahie matunda ya jasho lako mungu akamwambia nataka roho yako leo jioni.el anasubili maziko ya askofu kuna uhusiano gani
 
Maamuzi hayo yana uzito kilo ngapi? mazito kwa nani? aseme hata leo kwani kashesema sana na hatujaona uzito wowote.
 
Mmmmh! Hapo kwenye heading nimejaribu kuedit ila naona haikubali ila nimepitiwa tu na uhakika ni tarehe 18/02/2013

Bila shaka itakuwa ni maamuzi mazito!

Natumia simu ndiyo maana nimeshindwa kuedit

Habari imetoka leo wakati tarehe ni ya mwaka jana!!! Au kuna makosa kwenye heading???
 
Habari ya jioni wadau wenzangu! Nimekuwa sionekani jukwaani kutokana mihangaiko ya hapa na pale! Hakika bandiko hilo hapo juu ni habari niliyopata toka kwa raia wa karibu kabisa na raia wa karibu kabisa na Waziri Mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa ya kwamba Mh huyu atafanya (atatoa) maamuzi magumu kabisa yaliyo nafsini mwake baada ya kufanyika kwa mazishi ya aliyekuwa Askofu Thomas Laizer wa Kanisa la KKKT aliyefikwa na mauti tar 7/02/2012 na mazishi ni kesho kutwa hapo Kanisa la KKKT mjini kati na bila shaka atakuwepo hapo akijumuika na ndg,jamaa na hata marafiki!

Na baada ya hapo na mpaka tarehe tajwa nyepesi hizo zinasema atatoa maamuzi hayo kama nilivyokwisha kusema! Itakuwa ni maamuzi yake ya kwamba asimame wapi ama abaki wapi! Nikaona ngoja nisifikie kusikia na kubaki nayo ila nami niwadodose wanajamvi kwani Mi binafsi naikubali jamiiforums ya kwamba ni kitovu tosha kwa habari hapa Nchini! Hapapitwi na chochote na hili nalikubali!

COPY

Sokoine
Mungi
Ndallo
Dark City
hapo kwenye Red naomba nikusahihishe hakustaafu, bali alitimuliwa
na kuhusu uamuzi mgumu, ni uamuzi gani?
au anataka kurudisha pesa kwa serikali kwa kuitia hasara ya RICHMOND?
 
Mmmmh! Hapo kwenye heading nimejaribu kuedit ila naona haikubali ila nimepitiwa tu na uhakika ni tarehe 18/02/2013

Bila shaka itakuwa ni maamuzi mazito!

Natumia simu ndiyo maana nimeshindwa kuedit

Mtumie msge Invisible au possibly akiona ataedit hicho kichwa cha habari.

Anyway, isije ikawa kama mwaka jana/juzi alipokuja kwenye press confrence baadaye watu wakadai aliambiwa abadilishe hoalichokusudiwa kusema.
 
Back
Top Bottom