zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 257
Hapa majuzi mwenyekiti CCM aliwaagiza wajadili kuhusu tatzo la ajira kwa vijana nchn! Wakaishia kuleta picha hapa jamii forums zikionyesha wakiwa wanajadiliana, mimi nataka niwaambie ccm kuwa tatizo la ajira ni kubwa na gumu, linahitaji mjadala mpana wa sekta mbali mbali, kikao cha siku moja ni usanii na hakiwezi kutoa solution yeyote, kuna nchi za wenzetu waliotuzidi akili wameunda taasisi za kushughulikia tatizo hili zina wataalamu waliobobea, na kazi yao ni ku-brainstorm kila siku namna ya kutengeneza ajira!
Hapa tz ni sarakasi tu manake hawa viongozi wanakwepana lowasa anaeleza kuwa ni bomu linalosubiri kulipuka, waziri kabaka anakanusha kwa kutumia takwimu za kupika, kikwete anakiri ni tatzo, ccm wanafanya kikao siku moja kutatua tatizo..
Looh sarakasi kweli kweli