Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa watawala

Ujumbe wa Freeman Mbowe kwa watawala

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,761

Hii ni hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB) Freeman Mbowe ambayo alituma ujumbe mzito kwa watawala, viongozi wa dini na wananchi, siku ya mazishi ya Askofu Dk. Thomas O. Laizer, Ijumaa, Februari 15, 2013.

Hotuba hii mbali ya kuzua gumzo kubwa kwa namna ilivyotolewa kwa umakini na hisia, ikionesha ukomavu wa kiuongozi wa Kamanda Mbowe, inaelezwa kuwa iliwasumbua sana na kuwakosesha utulivu viongozi wa Serikali na CCM, hususan waliokuwepo kwenye msiba huo.
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na uwezo wa kutoa maoni hakukufanyi uwe mwanasiasa.

Mbowe alistahili kuwa mfanyabiashara tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ili ufanyebiashara inahitaji akili nyingi sio kama zako wewe kichwa cha kuku.
 
Sumu. Ni kweli mkuu: Rostam Aziz, Edward Lowassa,Andrew Chenge,Karamagi,Livingstone Lusinde,Prof.Maji Marefu,Mramba,Jakaya,Makinda,Kashilila,Wassira na Masha hao ndo wanafaa kuwa wanasiasa! Na haki ya uraia na siasa ni yao hao tu!
 
Last edited by a moderator:
Kuwa na uwezo wa kutoa maoni hakukufanyi uwe mwanasiasa.

Mbowe alistahili kuwa mfanyabiashara tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Nina mashaka makubwa sana na hizi Best Brain za CCM...No wounder Mwambamba n Shonza mmewapapatikia...
 
Kuwa na uwezo wa kutoa maoni hakukufanyi uwe mwanasiasa. Mbowe alistahili kuwa mfanyabiashara tu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unahitaji ukombozi wa kifikra
 
kama wewe ni mtu makini huliyekuwa na upeo wa kufikiri usinge beza hotuba ya ndg mbowe.ameongea maneno ya msingi sana juu ya mustakabali wa taifa letu.
 
Kuwa na uwezo wa kutoa maoni hakukufanyi uwe mwanasiasa.

Mbowe alistahili kuwa mfanyabiashara tu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Saumu vipi umeisikiliza hotuba yake au umekurupuka tu...
 
ni wanachadema tu,wenye uwezo wa kuyapima mambo na kuyaeleza.ccm wako kwa ajili ya matumbo yao wala hawajali yatakayowakuta wajukuu wao
 
Hapo lema ndiye aliyeongea jambo la maana na nampa heshima zake kwa kuongea moja kwa moja na familia ya mareheu kwa kuwakumbusha zaburi bila kuleta siasa.

Mbowe ni mtandao wa CCM, hilo sina shaka nalo.
 
Mbowe ni mtandao wa CCM, hilo sina shaka nalo.

Waambie, labda kwavile ni wewe watakuelewa.

Wanashabikia vitu wasivyovijua.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

hii ni hotuba ya mwenyekiti wa chadema na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni (kub) freeman mbowe ambayo alituma ujumbe mzito kwa watawala, viongozi wa dini na wananchi, siku ya mazishi ya askofu dk. Thomas o. Laizer, ijumaa, februari 15, 2013.

Hotuba hii mbali ya kuzua gumzo kubwa kwa namna ilivyotolewa kwa umakini na hisia, ikionesha ukomavu wa kiuongozi wa kamanda mbowe, inaelezwa kuwa iliwasumbua sana na kuwakosesha utulivu viongozi wa serikali na ccm, hususan waliokuwepo kwenye msiba huo.

ndugu nakubaliana nawe 100%, kuw2a mheshimiwa mbowe, ni mtu kamili kisiasa, na anafaa sana. He is what we cal a polished politician, sio rough and rogue like the current cdm flag bearer. Kudo ndugu mbowe.
 
Last edited by a moderator:
Hapo lema ndiye aliyeongea jambo la maana na nampa heshima zake kwa kuongea moja kwa moja na familia ya mareheu kwa kuwakumbusha zaburi bila kuleta siasa.

Mbowe ni mtandao wa CCM, hilo sina shaka nalo.
Kwa hiyo, tukusaidia je....
 
Waambie, labda kwavile ni wewe watakuelewa.

Wanashabikia vitu wasivyovijua.



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Unadhani tutamsikiliza mmeo zaidi...
 

hii ni hotuba ya mwenyekiti wa chadema na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni (kub) freeman mbowe ambayo alituma ujumbe mzito kwa watawala, viongozi wa dini na wananchi, siku ya mazishi ya askofu dk. Thomas o. Laizer, ijumaa, februari 15, 2013.

Hotuba hii mbali ya kuzua gumzo kubwa kwa namna ilivyotolewa kwa umakini na hisia, ikionesha ukomavu wa kiuongozi wa kamanda mbowe, inaelezwa kuwa iliwasumbua sana na kuwakosesha utulivu viongozi wa serikali na ccm, hususan waliokuwepo kwenye msiba huo.


discussion ya uwezo wa mbowe iliishafungwa saa nyingi..... Mbowe ni kitu ingine!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom