Wakuu,
Kuna ombwe kubwa la uongozi ndani ya nchi yetu ambalo linaweza kusababisha amani na utulivu ndani ya nchi yetu kuvunjika.Watu wasio na uwezo wa kusimamia familia zao ndiyo leo hii wamepewa...
CCM hawana kipaumbele. Na bila sahaka katika neno la Leo. Masoud Kipanya katoa mpya ambao ndiyo ukweli. Siasa za CCM za majitaka ndio chanzo cha haya yote. Badala ya kutilia mkazo elimu, wao...
SAKATA la kuhojiwa kwa Mhariri wa gazeti la Tanzania Daima Jumamosi, Charles Misango, pamoja na mwandishi, Josephat Isango, kwa madai ya kuandika habari ya uchochezi limechukua sura mpya, baada ya...
Katika hali ya inavyoelekea kuvutia uchaguzi wa mwaka 2015 serikali kwa ufadhili wa benki ya Dunia ( madeni na Mikopo) imezindua mpango wa serikali wa kuanzia mwaka 2014-2015 huku elimu na Maji...
Kulikuwa na tetesi kwamba kutakuwa na maandamano ya wananchi hapa Lindi ila ghafla jeshi la polisi limepita mitaani na kuwaonya wananchi kuto kushiriki katika maandamano hayo eti kuna taarifa za...
Kulikuwa na uchaguzi mdogo wa mitaa miwili, vijiji 6 na vitongoji 37... Pia nafasi 120 za wajumbe wa serikali za vijiji.
CHADEMA kimeendelea kuitesa CCM ambapo kimezoa mitaa yote miwili (Bank &...
Ndg makamanda;
jana mkuu wa Singida alikuwa amepanga kufanya mkutano ktk mji wa Kiomboi ambako ndio makao makuu ya wilaya,lakini mkutano huo ulikosa watu kutokana na gari lililotumika kutoa...
Katika jambo ambalo linanishangaza katika siasa za nchi yetu Tanzania ni hii ngonjela ya viongozi wa CCM kuwa "wanachama na chama wanawajibu wa kusimamia serikali".Hizi ni pumba tupu kwakuwa...
Shirikisho la vyama vya Wafanyakazi nchini (TUCTA), Mkoani Mwanza, kimemtaka Rais Jakaya Kikwete amfukuze kazi haraka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dk. Shukuru Kawambwa, kwa matokeo...
MA T A T I Z O yanayojitokeza nchini hivi sasa na hususan Zanzibar mpaka kusababisha mauaji ya kiongozi wa dini, yananifanya niwe na mawazo ambayo naamini yakichukuliwa kama ushauri na...
Katika pitapita zangu Lushoto mjini nilikuta kundi la watu limekusanyika, kumbe alikuwa ni Kisandu amezungukwa na kundi la vijana na wazee wachache wakitaka arudi kugombea Lushoto, na haya ndiyo...
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziliamua kufuata mfumo wa siasa za vyama vingi katika kulekea kukuza demokrasia.Lakini Tanzania haikuwa tayari japokuwa kukubali kwake kulitokana hasa na...
Athari ya haraka kabisa ya matokeo mabaya ya kidato cha nne mwaka huu ni shule na vyuo kuanza kukosa wanafunzi wa kudahili. Nifuatilie kwenye makala hii (imeambatanishwa).
Kama ilivyotarajiwa...
Kila wakati wananchi wakihoji jambo wanaambiwa kuwa wanafanya hivyo kujitafutia mtaji wa kisiasa. Tunaambiwa kwamba ni mkakati na mbinu maalum tulizozipanga ili kufikia malengo yetu ya kisiasa...
Wednesday, February 20, 2013
Mpelelezi wa Jeshi la Polisi, Stesheni Sajenti Juma, ameiambia mahakama kuwa alielezwa na Sheikh Ponda Issa Ponda, kuwa yeye (Sheikh Ponda) ni mhusika katika watu...
NIMEONA NIWEKE TENA UZI HUU BILA KUONGEZA: YAFUATAYO NILIANDIKA MARA BAADA YA VURUGU ZA MBAGALA.
Kitendo cha mtoto wa miaka 14 kukojolea kitabu cha kurani hakiwezi kuungwa mkono na mtu yeyote.-...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imepokea silaha mbalimbali yakiwamo mapanga, visu, majembe, sufuria, makoleo na sufuria kama kilelezo katika kesi inayomkabili Sheikh Ponda...
Serikali imegoma kuonyesha Mitaala ya Elimu hapa nchini, mitaala hiyo iliombwa tangu bunge lililopita na serikali iliahidi kuileta bungeni lakini baada ya Mh. James Mbatia kuombwa ahitimishe...
Kigoma mjini ni miongoni mwa majimbo machache sana yalio chini ya CCM katika majimbo yote mkoani Kigoma. Jimbo hili liko chini ya Peter Serukamba tangu mwaka 2005-2010, 2010-2015.
Kwa hakika...