sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,746
- 1,174
Wakuu,
Kuna ombwe kubwa la uongozi ndani ya nchi yetu ambalo linaweza kusababisha amani na utulivu ndani ya nchi yetu kuvunjika.Watu wasio na uwezo wa kusimamia familia zao ndiyo leo hii wamepewa madaraka ya kusimamia maisha ya Watanzania.Sijui ni kigezo gani kinachotumika kuteua viongozi wa nyadhifa mbalimbali katika nchi yetu.
Kuna mawaziri kama mh. Maghembe,Shukuru Kawambwa,Steven Wasira,Hawa Ghasia na mama Celina kombani wamekuwa ni Sind Bad ndani ya wizara takribani zote bila kuonyesha utumishi uliotukuka lakini kila bwana mkubwa anapopata nafasi ya kuteuwa hawaachi,nashindwa kujua kigezo gani hasa kinachtumika ilihali wizara zao zinapwaya.Kuna haja ya bunge kuunda chombo cha kufuatilia mwenendo wa uchapakazi kwa mawaziri ili kuepusha nchi yetu na majanga makubwa ambayo ipo siku wananchi watatoka barabarani kuhoji ikiwa ni pamoja na kuwafukuza kazi kwa kutumia nguvu ya umma.