Vyombo vya Habari vyapuuza mkutano wa CCM.

Greenwhich

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,337
Reaction score
968
Katika kile kinachoonekana kupuuza maneno ya hovyo dhidi ya Chadema yaliyotolewa na makada wa CCM jana huko Temeke mwisho,vyombo mbalimbali vya habari vimekataa kutoa uzito kwa mkutano huo.

Magazeti mbalimbali leo yameripoti kwa uzito habari tofauti huku magazeti maarufu kama mwananchi yakiripoti Uzindizi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.

Mkutano wa jana wa CCM huko Temeke Mwisho ulitawaliwa na Kejeli,Propaganda chafu na Matusi dhidi ya Chadema hali inayoripotiwa imechangia kukosa hamasa kwenye vyombo vya habari.

Magazeti pekee yaliyoripoti habari hizo ni yale yenye ushirika na CCM kama Mzalendo,Jambo Leo na Majira.
 
subr j3 utawaona wazee wa bahasha na karamu zao chafu
 
Naona majira tu kidogo ndio limetupia lakin sio matusi, ni kapicha kwa mbele........ hivi ili gazet linapataga faida sory??????
 
Mkuu kurasa za mbele za magazeti makubwa kama Mwananchi,Nipashe ,Tanzania Daima,The Citizen Yamepambwa na Habari tofauti.Mpaka Raha!
 
Katika kile kinachoonekana kupuuza maneno ya hovyo dhidi ya Chadema yaliyotolewa na makada wa CCM jana huko Temeke mwisho,vyombo mbalimbali vya habari vimekataa kutoa uzito kwa mkutano huo.

Magazeti mbalimbali leo yameripoti kwa uzito habari tofauti huku magazeti maarufu kama mwananchi yakiripoti Uzindizi wa Chadema Kanda ya Kaskazini.

Mkutano wa jana wa CCM huko Temeke Mwisho ulitawaliwa na Kejeli,Propaganda chafu na Matusi dhidi ya Chadema hali inayoripotiwa imechangia kukosa hamasa kwenye vyombo vya habari.

Hiyo ndiyo sera na mkakati wa wana CCM kjiakikishia uraji ndani ya Chama chao, Usipo jua kutukana CDM, kudanganya na kujikomba Au PESA huna lako. Wandishi wamezichoka hizo maana haziuzi tena, ni zilezile miaka yote.

Nikisikia kunamkutano wa CCM naweza nika predict Nape, Mchemba, Wasira watasema nini.
 
mkuu hata ndg.wa vyombo vya habari wamesha soma mchezo wakagundua ccm.bye.bye 2015 ndio maana kama ulifuatilia mwenyekiti wa vyombo vya habari.moat.ndg.mengi wakati wanatoa maoni ya vyombo vya habari kwa tume ya katiba.alisema vyombo vya habari visitumiwe na serikali kwa propaganda.kwa maana serikali inaweza ikaondoka madarakani ikaja serikali nyingine.vita weka wapi nyuso zao.kama mwenyekiti wa moat.alisema ivyo unategemea nini.wamesha shituka meku.wewe waache tbc wao bado wanatumika sijui 2015 mkurugenzi ndg mshana ajiandae kurizaini kazi na vibaraka wengine fagio litawapitia kweli kweli.
 
[/COLOR]
Hiyo ndiyo sera na mkakati wa wana CCM kjiakikishia uraji ndani ya Chama chao, Usipo jua kutukana CDM, kudanganya na kujikomba Au PESA huna lako. Wandishi wamezichoka hizo maana haziuzi tena, ni zilezile miaka yote.

Nikisikia kunamkutano wa CCM naweza nika predict Nape, Mchemba, Wasira watasema nini.

Ni ukweli mtupu uyasemayo
 
Ccm haifanyi siasa za magazeti, inakaa na wananchi na kuwasikiliza na kutatua kero zao
 
Taarifa za ccm haziandikwi magazetini ila ccm yenyewe ipo kwenye mioyo ya watanzania
 
Halafu macikini hawana hata members wa kusaidia kuyatoa matuci yao kwenye mtandao.. Bado wako kwenye analogue..
 
uwezo wa chama tawala umeishia hapo! wengi mnawaona kama kina shonza ni wasaliti, trust me wako UNDER COVER na plan A imefanya kazi kwa CCM kuwa Trust, wait for plan B,
nitoe shukrani zangu kwao, hakika historia itawakumbuka
 
Taarifa za ccm haziandikwi magazetini ila ccm yenyewe ipo kwenye mioyo ya watanzania

Walibaki Lindi Mtwara na Pwani, nao sasa wameshtuka, ccm kitabaki kwenye mioyo ya majangili, mafisadi, wezi wa mali za umma, majambazi wa maliasili za watanzania na kila aina ya wachafu waliopo Tz lakini si kwa watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu
 
Safi sana waliochuna kuandika upuuzi wakuchafau wapinzani.wamechoka na ccm badala ya kuwaeleza wananchi wamefanya nini na watatua vipi matatizo ya wananchi wakesha wakiwaza namna ya kuichafua chadema.
 
Back
Top Bottom